Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
- Thread starter
- #41
Ha...ha....haaa....wakati huwa hausahau kusudi, tuwe na subira.NABII WA NYOKO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha...ha....haaa....wakati huwa hausahau kusudi, tuwe na subira.NABII WA NYOKO
Ishi peke yako kwenye huo ujima,acha kusambaza ujinga kwa wengine.Mkuu nipo hapa kwenye ujima, nakuangalia
Unafahami ujinga Mkuu au kwa sababu upo hai mpaka muda huu unajiona mwamba sana badala ya kumshukuru Mungu.Ishi peke yako kwenye huo ujima,acha kusambaza ujinga kwa wengine.
Lazima tukilinde hiki kizazi na wapotoshaji,Dunia inaishi kwenye uhalisia,mambo ya utabiri na kusubiri miujiza ni vitu vilivyopitwa na wakati.Unafahami ujinga Mkuu au kwa sababu upo hai mpaka muda huu unajiona mwamba sana badala ya kumshukuru Mungu.
" Ukiona huu ni ujinga wewe puuzia fanya unayoyaona nIya wajanja, Dunia siyo ya wajanja peke yao.
Asante.
From the time immemorial, watu wamekuwa wakipewa hadhari kwa lengo la kuchukua hatua za hadhari " proactive measures" na haukuwahi kuitwa upotoshaji. Ila kama huu ni upotoshaji muda utasema, sidhani kama una majibu sahihi kuliko muda.Lazima tukilinde hiki kizazi na wapotoshaji,Dunia inaishi kwenye uhalisia,mambo ya utabiri na kusubiri miujiza ni vitu vilivyopitwa na wakati.
Wewe hapa umetoa hadhari ipi na umeshauri hatua zipi za hadhari zichukuliwe?From the time immemorial, watu wamekuwa wakipewa hadhari kwa lengo la kuchukua hatua za hadhari " proactive measures" na haukuwahi kuitwa upotoshaji. Ila kama huu ni upotoshaji muda utasema, sidhani kama una majibu sahihi kuliko muda.
Mkuu Mimi siyo nabii soma post vizuriWewe hapa umetoa hadhari ipi na umeshauri hatua zipi za hadhari zichukuliwe?
Acheni kuturudisha kwenye era za stone age.
Kujifunza hakuna mipaka.....Mungu huweza kuzungumza na mtu yeyote hata wewe..tujifunza kuwa flexible Ili kuelewa mengi.Nabii Mlevi.
Mkuu umenichekesha sana. Kwa kweli kwa uchumi unavyokwenda itabidi tuwe makauzu tu .....How to survive 2024 in Tanzania [emoji1241]
1. Sitaki
2. Sina
3. Sitaweza
4. Sipo
5. Haiwezekani
6. Haipo
7. Imeisha
Msg ngumu Kama hizo Mungu haongei na wahuni.Kujifunza hakuna mipaka.....Mungu huweza kuzungumza na mtu yeyote hata wewe..tujifunza kuwa flexible Ili kuelewa mengi.
Kwakweli inasikitisha sanaNdo akili za mbongo ujinga mwingi
Acha porojo za enzi za ujima,haya mambo sijui ya kujifanya kila mtu nabii ndio yanawachelewesha,ishi maisha ya uhalisia achana na hizo ndoto za alinacha.
Mkuu kukataa kila jambo siyo njia ya kuelewa au kuyalinda unayoyaelewa, hata Mimi nina mashaka kama binadamu wengine ila sufungi milango ya kujifunza kwa yeyote au chochote. Najifunza kwa wema, wabaya, Mungu, Shetani n.kMali hii ambayo Mrusi kaikalia na mchina??.
Atasubiri sana.
1 ,sio utabir ni jambo lishajadiliwa na wanasayansi mbalimbali ili kuwasaidia wazazi
2-uongo mtupu anapitia kwenye Uviko.
Chama Tawala ni lazima kishinde, ni sawa na kusema 2025, CCM itashinda.
Mabadiliko ya hali ya hewa, ni mother nature, Dunia imeharibiwa na mwanadam.
Hivi Hawa manabiii uchwara, Et nao Wana wafuasi mamaee.
Hawa ni watakatishaji Pesa na biashara za madawa.
Positive yapo nimeweka hayo yanayohitaji kuchukua tahadhari kwanza, nitaweka yote muda mfupi ujao utafurahi.Mbona yote ni mambo NEGATIVE Tu?