HAYA NDO YALEE YA
TumainiEl hii original post ilikuwa na vitu 8(sasa zaidi ya 11), mnafanya kuedit kuongeza matukio yanayotokea (huu ni upotoshaji wala sii utabiri )... UhUni wa kitoto!!
admin Maxence Melo post za namna hii ziwe zinakuwa locked kuedit au kuwe na provision ya kuonyesha edit time stamp