bitimkongwe siku hizi kimyaaa......, kelele zimekoma.Kumbe mambo yalikuwa hayaja nyooka, sasa umeshiba mpaka umevimbirwa,hata Bweni hukumbuki tena.Sawa.......,ila noma bwana.leteni huo ushahidi wa utajir wao, la si hivyo hayo ni majungu tu munapika kama kawaida
Ongeza Afya, viwanda na MazingiraKuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa maelezo ya mtoa taarifa kutoka Bungeni.
Kwa kuanza futailieni utajiri wa mawaziri wa sekta hizi;
1. Maji
2. Kilimo
3. Uchukuzi zamani Ujenzi
4. Mambo ya Nje zamani Nishati
5. Fedha
6. Mipango hasa baada ya Mkataba wa DP
7. Ardhi na danganya toto zake za PR
8. TAMISEMI, huyu yeye anakusanya bila aibu
Kama tungekuwa na vyombo imara vya uchunguzi wahusika hao wanatakiwa kuwa gerezani. Wanakula, wanaiba bila kunawa mikono.
Sahivi wanapagua haswa mali za ummaWaliambiwa wale kwa urefu wa Kamba zao wasivimbiwe! Usiwalaumu ni maelekezo.
Anaupiga mwingiMama oyeee, sema oyeeeee
Ngoja JPM mwingine aingie uone kazi!
Hapana kula mali ya umma ni moja ya laana kubwa sana ipo siku laana hiyo itarudi kwako namna yoyote,maana ukila mali ya uma jua kuna mjumuisho wa mambo mengi mabaya umefanya .Hata mie nikipewa uwaziri nitawapiga tuu. Grabbing 6 figure in $ and investing heavily in real estates. Bakini na uzalendo wenu wazalendo.
WACHA WATAJIRIKE TANZANIA NI SHAMBA LA BIBI NCHI HAINA MWENYEWE WA KUFOKEA WIZI AU UFISADIHuyu wa Maji nahisi kavimbiwa hadi kazi imemshinda.
Uko sahihi angalia wote waliokwiba mali ya umma wameishia vipi.Hapana kula mali ya umma ni moja ya laana kubwa sana ipo siku laana hiyo itarudi kwako namna yoyote,maana ukila mali ya uma jua kuna mjumuisho wa mambo mengi mabaya umefanya .
Yaani. Abdul anachota tu mipesa.WACHA WATAJIRIKE TANZANIA NI SHAMBA LA BIBI NCHI HAINA MWENYEWE WA KUFOKEA WIZI AU UFISADI
Ungetoa takwimu za ukwasi wao, kabla ya awamu ya sita na wakati huu; hivi Vyombo imara vingefanyia kazi suala hilivyombo imara
TakwimuOngeza Afya, viwanda na Mazingira
Kawaida hiyo kila awamu lazima kuna kundi fulani la watu wao watalamba asali mzeeYaani. Abdul anachota tu mipesa.
Wasitiwe ndani fyeka kabisaKuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa maelezo ya mtoa taarifa kutoka Bungeni.
Kwa kuanza futailieni utajiri wa mawaziri wa sekta hizi;
1. Maji
2. Kilimo
3. Uchukuzi zamani Ujenzi
4. Mambo ya Nje zamani Nishati
5. Fedha
6. Mipango hasa baada ya Mkataba wa DP
7. Ardhi na danganya toto zake za PR
8. TAMISEMI, huyu yeye anakusanya bila aibu
Kama tungekuwa na vyombo imara vya uchunguzi wahusika hao wanatakiwa kuwa gerezani. Wanakula, wanaiba bila kunawa mikono.