Baadhi ya Mawaziri Serikali ya Awamu ya Sita wamekuwa na Utajiri wa ghafla usio kifani

Hizo fedha wanazitoa kwenye Halimashauri na taasisi wanazozisimamia
 
Ngoja waibe bila kunawa mikono. Lakini watambue wanawaibia
Kifo kitawanyosha tu hata waibe vipi. Na wataacha kila kitu walichoiba.
 
Hata kipindi cha dhalimu magu akina bashite, Sabaya, Kalemani, nk wakipata utajiri wa ghafla.
 
bitimkongwe siku hizi kimyaaa......, kelele zimekoma.Kumbe mambo yalikuwa hayaja nyooka, sasa uneshiba mpaka umevimbirwa,hata Bweni hukumbuki tena.Sowea.......,noma bwana.
sijui umenifananisha na nani na sijui nilikuwa nikipiga kelele gani. Mimi siyo mpenzi wa siasa na hata huko kupiga kura tu ni tatizo. Kwa sasa mimi ni mstaafu na nimejikalia nyumbani nasubiri shule zifungwe nipokee wajukuu waje kunifanyia kelele nyumbani kwangu.
 

Umesahau kuwa ruksa ilitoka kwa kila mtu ale kulingana na urefu kamba yake mkuu? Kama kamba Yako ni fupi pambana mpaka ikatike. CCM OYEEEEEEE!
 
Wizara kutoa pesa kwa wabunge ili bajeti ipite ni suala la siku nyingi kijana,tangu mkapa huko,katibu mkuu wizara ndiyo mratibu wa hilo
 
Utajiri wa wizi ni laana mbele za Allah.
 
Kutoa na kupokea rushwa wakati mwingine ni vigumu kudhibitishwa ikiwa mtoaji na mpokeaji hawatakubaliana, ata ukinusa utauundiwa zengwe. Kiufupi hii nchi kwa rushwa imeshindikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…