Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo fedha wanazitoa kwenye Halimashauri na taasisi wanazozisimamiaKuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa maelezo ya mtoa taarifa kutoka Bungeni.
Kwa kuanza futailieni utajiri wa mawaziri wa sekta hizi;
1. Maji
2. Kilimo
3. Uchukuzi zamani Ujenzi
4. Mambo ya Nje zamani Nishati
5. Fedha
6. Mipango hasa baada ya Mkataba wa DP
7. Ardhi na danganya toto zake za PR
8. TAMISEMI, huyu yeye anakusanya bila aibu
Kama tungekuwa na vyombo imara vya uchunguzi wahusika hao wanatakiwa kuwa gerezani. Wanakula, wanaiba bila kunawa mikono.
Ngoja waibe bila kunawa mikono. Lakini watambue wanawaibiaKuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa maelezo ya mtoa taarifa kutoka Bungeni.
Kwa kuanza futailieni utajiri wa mawaziri wa sekta hizi;
1. Maji
2. Kilimo
3. Uchukuzi zamani Ujenzi
4. Mambo ya Nje zamani Nishati
5. Fedha
6. Mipango hasa baada ya Mkataba wa DP
7. Ardhi na danganya toto zake za PR
8. TAMISEMI, huyu yeye anakusanya bila aibu
Kama tungekuwa na vyombo imara vya uchunguzi wahusika hao wanatakiwa kuwa gerezani. Wanakula, wanaiba bila kunawa mikono.
Kifo kitawanyosha tu hata waibe vipi. Na wataacha kila kitu walichoiba.Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa maelezo ya mtoa taarifa kutoka Bungeni.
Kwa kuanza futailieni utajiri wa mawaziri wa sekta hizi;
1. Maji
2. Kilimo
3. Uchukuzi zamani Ujenzi
4. Mambo ya Nje zamani Nishati
5. Fedha
6. Mipango hasa baada ya Mkataba wa DP
7. Ardhi na danganya toto zake za PR
8. TAMISEMI, huyu yeye anakusanya bila aibu
Kama tungekuwa na vyombo imara vya uchunguzi wahusika hao wanatakiwa kuwa gerezani. Wanakula, wanaiba bila kunawa mikono.
Hata kipindi cha dhalimu magu akina bashite, Sabaya, Kalemani, nk wakipata utajiri wa ghafla.Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa maelezo ya mtoa taarifa kutoka Bungeni.
Kwa kuanza futailieni utajiri wa mawaziri wa sekta hizi;
1. Maji
2. Kilimo
3. Uchukuzi zamani Ujenzi
4. Mambo ya Nje zamani Nishati
5. Fedha
6. Mipango hasa baada ya Mkataba wa DP
7. Ardhi na danganya toto zake za PR
8. TAMISEMI, huyu yeye anakusanya bila aibu
Kama tungekuwa na vyombo imara vya uchunguzi wahusika hao wanatakiwa kuwa gerezani. Wanakula, wanaiba bila kunawa mikono.
sijui umenifananisha na nani na sijui nilikuwa nikipiga kelele gani. Mimi siyo mpenzi wa siasa na hata huko kupiga kura tu ni tatizo. Kwa sasa mimi ni mstaafu na nimejikalia nyumbani nasubiri shule zifungwe nipokee wajukuu waje kunifanyia kelele nyumbani kwangu.bitimkongwe siku hizi kimyaaa......, kelele zimekoma.Kumbe mambo yalikuwa hayaja nyooka, sasa uneshiba mpaka umevimbirwa,hata Bweni hukumbuki tena.Sowea.......,noma bwana.
'biti' maana ni 'daughter of', kwa hivyo hapo umekwenda mchongo kidogo kwa kuniita 'bwana'Habari za siku nyingi bwana Ijumaa Hamidan Awesou?
Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa maelezo ya mtoa taarifa kutoka Bungeni.
Kwa kuanza futailieni utajiri wa mawaziri wa sekta hizi;
1. Maji
2. Kilimo
3. Uchukuzi zamani Ujenzi
4. Mambo ya Nje zamani Nishati
5. Fedha
6. Mipango hasa baada ya Mkataba wa DP
7. Ardhi na danganya toto zake za PR
8. TAMISEMI, huyu yeye anakusanya bila aibu
Kama tungekuwa na vyombo imara vya uchunguzi wahusika hao wanatakiwa kuwa gerezani. Wanakula, wanaiba bila kunawa mikono.
Umesahau kuwa ruksa ilitoka kwa kila mtu ale kulingana na urefu kamba yake mkuu? Kama kamba Yako ni fupi pambana mpaka ikatike. CCM OYEEEEEEE!Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa maelezo ya mtoa taarifa kutoka Bungeni.
Kwa kuanza futailieni utajiri wa mawaziri wa sekta hizi;
1. Maji
2. Kilimo
3. Uchukuzi zamani Ujenzi
4. Mambo ya Nje zamani Nishati
5. Fedha
6. Mipango hasa baada ya Mkataba wa DP
7. Ardhi na danganya toto zake za PR
8. TAMISEMI, huyu yeye anakusanya bila aibu
Kama tungekuwa na vyombo imara vya uchunguzi wahusika hao wanatakiwa kuwa gerezani. Wanakula, wanaiba bila kunawa mikono.
hapana sikujificha, lakini siku hizi uzushi umezidi sana mpaka unashindwa kujua lipi ni la kweli na lipi ni la propaganda.Wewe bitimkongwe. Ina maana wewe umejificha uvunguni huko hata hujui nini kinaendelea hapa nchini??
*****! Kumbe kweli alisemaa😲😲Jibu hili hapa
Tumkumbuke magu kwa lipi?Wametajirika sana hawa mawaziri...chanzo cha haya yoye walishapewa go ahead kwamba wale ila wasivimbiwe..hatuna la kufanya zaidi ya kumkumbuka magu
Wewe kweli mnyongeNgoja waibe bila kunawa mikono. Lakini watambue wanawaibia
Kifo kitawanyosha tu hata waibe vipi. Na wataacha kila kitu walichoiba.
Wizara kutoa pesa kwa wabunge ili bajeti ipite ni suala la siku nyingi kijana,tangu mkapa huko,katibu mkuu wizara ndiyo mratibu wa hiloKuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa maelezo ya mtoa taarifa kutoka Bungeni.
Kwa kuanza futailieni utajiri wa mawaziri wa sekta hizi;
1. Maji
2. Kilimo
3. Uchukuzi zamani Ujenzi
4. Mambo ya Nje zamani Nishati
5. Fedha
6. Mipango hasa baada ya Mkataba wa DP
7. Ardhi na danganya toto zake za PR
8. TAMISEMI, huyu yeye anakusanya bila aibu
Kama tungekuwa na vyombo imara vya uchunguzi wahusika hao wanatakiwa kuwa gerezani. Wanakula, wanaiba bila kunawa mikono.
Utajiri wa wizi ni laana mbele za Allah.Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa maelezo ya mtoa taarifa kutoka Bungeni.
Kwa kuanza futailieni utajiri wa mawaziri wa sekta hizi;
1. Maji
2. Kilimo
3. Uchukuzi zamani Ujenzi
4. Mambo ya Nje zamani Nishati
5. Fedha
6. Mipango hasa baada ya Mkataba wa DP
7. Ardhi na danganya toto zake za PR
8. TAMISEMI, huyu yeye anakusanya bila aibu
Kama tungekuwa na vyombo imara vya uchunguzi wahusika hao wanatakiwa kuwa gerezani. Wanakula, wanaiba bila kunawa mikono.
Ww akili zako hazitumiki sawa sawaTumkumbuke magu kwa lipi?
Akili kutumika sawasawa ni kumkubali dhalimu magu.Ww akili zako hazitumiki sawa sawa
Mdhalimu?Akili kutumika sawasawa ni kumkubali dhalimu magu.
Ndio.Mdhalimu?