Baadhi ya members tusipende kuwa shambulia wanahitaji msaada wetu

Hivi dr bado yuko huku jukwaani? au ameshatafuta kichaka ila Hannah nmekuchukia bure.
 
Haleluya! Umenitag? Hii ni ishara nzuri kuwa Injili ya Yesu niliyokuletea, imepenya moyoni mwako, ndio sababu unanikumbuka. Mungu akusaidie usishupaze shingo. Jesus is coming soon.
Nyie vichaa lazima muwe chini ya uangalizi wetu ili msije mkaleta madhara kwa watu wengine,
Halafu najua kua hizo ID ni mtu mmoja huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…