Baadhi ya members tusipende kuwa shambulia wanahitaji msaada wetu

πŸ˜‚πŸ˜‚
Umeanzisha vita πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yaani utanitambua πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ siunajua nilivyo crazy utakimbia jamiiforums πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Halafu mimi sina aibu wala siogopi chochote wala siumizwi na chochote, πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ntakushukia haswaaaaa kazi iendeleee πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Unavyo andika direct na kuni cc, unategemea nn??

Sitaki mm natafuta humu kazi usiniharibie reputation plz!!!
Ole wako unitag tena shemeji yaani ntakutukana mpaka ujute....

Unavyooniitaga mbamizwa unafikiri mimi sitaki ajira eeeh??? Hahahaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ngoja unitag tena kwenye maujinga yako walahi ntakuvunja pingiri za ugoko
 

Sema kingine chapati....maana nimebobea katika bullshit coz am a bull shitter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…