mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Na huo ndy ukweli,wengi wao hawajishugulishi wako wanasikilizia kodi itokeKugombea mali za familia ni kama vile umekubali kwamba wewe huwezi kutafuta zako.
Hawana umoja kabisa
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huo ndy ukweli,wengi wao hawajishugulishi wako wanasikilizia kodi itokeKugombea mali za familia ni kama vile umekubali kwamba wewe huwezi kutafuta zako.
Kuna jamaa yangu mmoja wao wako 4 walikuwa na nyumba jirani na airtel pale moroco...Kugombea mali za familia ni kama vile umekubali kwamba wewe huwezi kutafuta zako.
Hakuna sehemu niliposema urithi si haki ya mtoto.Urithi ni haki ya mtoto pia.
Familia zote zenye nguvu ya kiuchumi Duniani zinarithisha mali kwa vizazi vyao.
Hii mantiki yako uliyoielezea haina mashiko pia inapingana na uhalisia.
Mfano wa familia zenye mafanikio zaidi ni hizi
The Rothschild family(bankers)
Bush family(politicians)
Sinclair(nobles)
Toyoda family (Toyota)
Lee family(Samsung)
Waltons family
Mars family
Al Saud family
Ambani family
Koch family
Hizo familia zote zimefika hapo zilipo kwa kurithishana mali, kurithi ni suala na uumbaji na muendelezo wa maisha ya binadamu na urthi pekee ulio halali ni ule mtoto kurithi kwa mzazi wake (BABA).
Dah, noma.Kuna jamaa yangu mmoja wao wako 4 walikuwa na nyumba jirani na airtel pale moroco...
Sasa ktk 4 wa 3 walikuwa wanataka pauzwe walikuwa wanavutana kwa muda mrefj na wate hao tumbo moja
Kuna wakati walipewa offer ya b 1.2 wakakata wakataka b2 hawakuuza,mwaka jana waliuza mln 850 na wakagawana hela
Yule mmoja aliuza kwa kinyongo sa na maana nikama walitupa
Na yote alikubali maana figisu kufanyiana zilikuwa nyingi,
Ova
🙏Hakuna sehemu niliposema urithi si haki ya mtoto.
Nimesema mimi nina matatizo ya kifalsafa na dhana ya urithi wa mali.
Hiyo nayo ni haki yangu. Kwani lazima kila mtu apende mali za urithi?
Kwa nini hatuwezi kukubaliana tu kwamba huo wangu ni mtazamo wa kifalsafa ulio tofauti, na wanaoamini katika kutumia haki yao ya urithi wana mtazamo tofauti, kila mtu aruhusiwe kukaa kwenye mtazamo wake bila kunyanyapaliwa?
Nimesema pia watu kupigania - kupigania, si kurithi- mali ya urithi ni kama wanakubali hawawezi kutafuta mali yao wenyewe.
Dhana yako ya mafanikio ni finyu sana, umeweka mafanikio kwenye mali tu, huo ni ulimbukeni.
Kati ya hao uliowataja wako wengi tu wanajiona hawana mafanikio kwa kuwa na mali nyingi na kukosa vingine vingi kama furaha, maisha ya kifamilia mazuri, kufuatisha maisha wanayoyataka, n.k.
Bilionea wa Kimarekani, Ted Turner, aliyeanzisha CNN na kuna wakati alikuwa mtu mwenye ardhi kubwa kuliko wote Marekani, alihojiwa kuhusu maisha yake, ana masikitiko gani, akasema kuwa masikitiko yake makubwa ni kwamba hajakuwa na mafanikio katika maisha yake ya ndoa.
Huyo ni bilionea. Si wa shilingi, wa US dollars.
Hela ni kitu muhimu sana kwa watu masikini ambao hawana hela, ukishakuwa nazo za kutosha zinaacha kuwa na umuhimu hivyo, unaangalia mambo ya legacy, family, self actualization etc. Ndiyo maana mabilionea wa dunia kama kina Bill Gates wanakusanya hela, wakishazikusanya za kutosha, wanaanza kuzigawa.
Sasa huko kwetu watu wengi masikini hata hela ya kujikimu tu matatizo, lazima tulimbuke sana na hela/mali.
Naelewa kwamba inawezekana unataka falsafa za kuukataa umasikini na kujenga utajiri wa generational wealth, na huwezi kujenga hiyo generational wealth bila hela za urithi, naelewa yote hayo.
Lakini pia, kuhusudu sana utajiri ni ulimbukeni, kwa sababu tumeona hata hao waliojenga generational wealth, kuna sehemu kanuni zao zimewatengenezea matatizo, mtoto anataka kuwa artist, familia inamlazimisha awe banker ili aendeleze legacy na utajiri. Matokeo yake mtu anakuwa banker shingo upande, anaishi maisha yasiyo na furaha.
Mpaka Tanzania tumewaona hawa, kina DJ Red. Mchana a big banking executive, jioni ana DJ Sugar Rays.
Kuna tajiri mmoja anaitwa kanjiDah, noma.
Lile eneo limewatoa sana watu.
Kuna cousin wangu mmoja alikuwa anakaa nyuma hapo hapo karibu na kwa Jaji Rubama, waliuza nao wakagawana.
Jamaa yuko poa sasa hivi kasimama kwa pesa ya ile nyumba waliyouza pale.
Pale pazuri, si mbali sana na mjini.
Ukikanyaga kidogo Mbuyuni hii, Selander hii, mara mjini.
Kama unauza unapewa pesa ndefu unachukua unaenda kujipanga upyaDah, noma.
Lile eneo limewatoa sana watu.
Kuna cousin wangu mmoja alikuwa anakaa nyuma hapo hapo karibu na kwa Jaji Rubama, waliuza nao wakagawana.
Jamaa yuko poa sasa hivi kasimama kwa pesa ya ile nyumba waliyouza pale.
Pale pazuri, si mbali sana na mjini.
Ukikanyaga kidogo Mbuyuni hii, Selander hii, mara mjini.
Mabaunsa wanaendaga kichwa kichwamali ya urithi huwa haiuzwi kiholela hivyo ni lazima warithi wote wasinye wino.
hawa mabaunsa hizi issue za kisheria sio za nguvu kuna siku watauliwa wafe kwa 50k ya ubaunsa.
waislam nfo kawaida yao kugombania majumba ya urithi.Nimeona video inatrend ya ugomvi mkubwa wa nyumba ya urithi Kariakoo mtaa wa Manyema.
Nyumba hiyo ya ghorofa 5 ilijengwa na mzee anaeitwa Mohammed Alidina ambae alifariki miaka kazaa iliyopita.
Mzee huyo wakati akiwa hai alitoa sehemu ya nyumba hiyo. Floor ya juu itumike kama madrassa na kufanya taratibu za kukabidhi kwa msikiti ambazo waislamu wanaziita waqfu. Ghorofa zilizobaki aliendelea kuzitumia kuishi na zingine kupangisha appartments na fremu kwa wafanyabiashara Kariakoo.
Baada ya huyo mzee kufariki aliacha watoto 11, ambao watoto wao waligawana hizo appartments na fremu na kuendelea na maisha.
Mbeleni watoto wachache wa kiume wa marehemu mzee huyo wakapendekeza wazo la kutaka nyumba hiyo iuzwe kila mtu akajenge kwake. watoto wengine wakapinga kwamba hawataki nyumba iuzwe maana baba yao enzi za uhai alisema nyumba isiuzwe na akatoa sehemu ya nyumba iwe madrassa inayomilikiwa na waislamu wote. sasa watauzaje nyumba yenye wakfu ambayo ni mali ya waislamu wote.
Watoto wenye wazo la kuuza wakaona hapa kuuza ngumu. wakaamua kwenda kumshirikisha imamu wa msikiti ambao ulipewa wakfu sehemu ya nyumba hiyo. maana msikiti ulikuwa na documents za wakfu walizopewa na marehemu baba yao.
Kimya kimya wakashirikiana na imamu wa msikiti uliopewa hizo documents. wakatafuta mteja Mkinga mmoja wakamuuzia nyumba bila watoto wengine kujua.
Mbeleni mkinga huyo ambae ni mnunuzi aliyonunua hiyo nyumba akaenda kuchukua mali yake. Ndipo watoto wengine wakagundua nyumba imeuzwa. Ndipo ugomvi mkubwa ukaibuka na mapanga juu.
View attachment 2928225
yap,hata Magwepande walishawai kukutana na mapanga ya kichwa wakakimbia.Mabaunsa wanaendaga kichwa kichwa
Kinondoni kuna wakati kna mambo aliuliwa pale jirani na ghorofa la tarimba pale pana mgogoro mkubwa mpk sahvi
Ova
Mabaunsa wanaendaga kichwa kichwa
Kinondoni kuna wakati kna mambo aliuliwa pale jirani na ghorofa la tarimba pale pana mgogoro mkubwa mpk sahvi
Ova
Nimeona video inatrend ya ugomvi mkubwa wa nyumba ya urithi Kariakoo mtaa wa Manyema.
Nyumba hiyo ya ghorofa 5 ilijengwa na mzee anaeitwa Mohammed Alidina ambae alifariki miaka kazaa iliyopita.
Mzee huyo wakati akiwa hai alitoa sehemu ya nyumba hiyo. Floor ya juu itumike kama madrassa na kufanya taratibu za kukabidhi kwa msikiti ambazo waislamu wanaziita waqfu. Ghorofa zilizobaki aliendelea kuzitumia kuishi na zingine kupangisha appartments na fremu kwa wafanyabiashara Kariakoo.
Baada ya huyo mzee kufariki aliacha watoto 11, ambao watoto wao waligawana hizo appartments na fremu na kuendelea na maisha.
Mbeleni watoto wachache wa kiume wa marehemu mzee huyo wakapendekeza wazo la kutaka nyumba hiyo iuzwe kila mtu akajenge kwake. watoto wengine wakapinga kwamba hawataki nyumba iuzwe maana baba yao enzi za uhai alisema nyumba isiuzwe na akatoa sehemu ya nyumba iwe madrassa inayomilikiwa na waislamu wote. sasa watauzaje nyumba yenye wakfu ambayo ni mali ya waislamu wote.
Watoto wenye wazo la kuuza wakaona hapa kuuza ngumu. wakaamua kwenda kumshirikisha imamu wa msikiti ambao ulipewa wakfu sehemu ya nyumba hiyo. maana msikiti ulikuwa na documents za wakfu walizopewa na marehemu baba yao.
Kimya kimya wakashirikiana na imamu wa msikiti uliopewa hizo documents. wakatafuta mteja Mkinga mmoja wakamuuzia nyumba bila watoto wengine kujua.
Mbeleni mkinga huyo ambae ni mnunuzi aliyonunua hiyo nyumba akaenda kuchukua mali yake. Ndipo watoto wengine wakagundua nyumba imeuzwa. Ndipo ugomvi mkubwa ukaibuka na mapanga juu.
Jamaa alitembeza panga kiume na alikuwa hachagui pakukata, kama mbwai na iwe mbwai!Kumbe Mabaunsa walidhibitiwa safi sana.
Kariakoo hakuna "mtaa wa Manyema". Kina msikiti wa Manyema ambao upo mtaa wa Ukame na Mafia.
Dunia hadaaNimeona video inatrend ya ugomvi mkubwa wa nyumba ya urithi Kariakoo mtaa wa Manyema.
Nyumba hiyo ya ghorofa 5 ilijengwa na mzee anaeitwa Mohammed Alidina ambae alifariki miaka kazaa iliyopita.
Mzee huyo wakati akiwa hai alitoa sehemu ya nyumba hiyo. Floor ya juu itumike kama madrassa na kufanya taratibu za kukabidhi kwa msikiti ambazo waislamu wanaziita waqfu. Ghorofa zilizobaki aliendelea kuzitumia kuishi na zingine kupangisha appartments na fremu kwa wafanyabiashara Kariakoo.
Baada ya huyo mzee kufariki aliacha watoto 11, ambao watoto wao waligawana hizo appartments na fremu na kuendelea na maisha.
Mbeleni watoto wachache wa kiume wa marehemu mzee huyo wakapendekeza wazo la kutaka nyumba hiyo iuzwe kila mtu akajenge kwake. watoto wengine wakapinga kwamba hawataki nyumba iuzwe maana baba yao enzi za uhai alisema nyumba isiuzwe na akatoa sehemu ya nyumba iwe madrassa inayomilikiwa na waislamu wote. sasa watauzaje nyumba yenye wakfu ambayo ni mali ya waislamu wote.
Watoto wenye wazo la kuuza wakaona hapa kuuza ngumu. wakaamua kwenda kumshirikisha imamu wa msikiti ambao ulipewa wakfu sehemu ya nyumba hiyo. maana msikiti ulikuwa na documents za wakfu walizopewa na marehemu baba yao.
Kimya kimya wakashirikiana na imamu wa msikiti uliopewa hizo documents. wakatafuta mteja Mkinga mmoja wakamuuzia nyumba bila watoto wengine kujua.
Mbeleni mkinga huyo ambae ni mnunuzi aliyonunua hiyo nyumba akaenda kuchukua mali yake. Ndipo watoto wengine wakagundua nyumba imeuzwa. Ndipo ugomvi mkubwa ukaibuka na mapanga juu.
View attachment 2928225
shida kivip wakati kila mtu kagaiwa frame yake?Nipo Kariakoo, anaesimamia hiyo nyumba ni dd yao. Ishu ni kua anawapiga ndugu zake. Mfano frem ni 1,000,000 anawaambia wenzake kodi ni 600,000. Hiyo ndo shida
Imamu nae alitakiwa atembezewe kichapo cha haja.Jamaa alitembeza panga kiume na alikuwa hachagui pakukata, kama mbwai na iwe mbwai!
Unapoamua kula jiwe usiyahurumie meno kuvunjika.
Jamaa kaokoa mali za familia toka kwa wahuni, nimempenda.