Baadhi ya ndugu wauza nyumba ya familia Kariakoo iliyokuwa na waqfu. Mapanga yatembea nje nje

Nyumba ya mirathi ina taratibu zake kuuza.Huwezi kuuza kitu cha watu wengi,kijanja janja.Huyo Sheikh,na huyo mnunuzi wakamatwe,ni wezi hao na ni matapeli,na kama yupo wakili,kahusika na huu utapeli,pia akamatwe.
Mirathi ni ibada, ila watu wengi wanazani mwenye mali akifa,wao wanaweza fanya chochote kile wanachokitaka,ikiwemo na kudhulumu warithi halali mali za Marehemu! sasa utaratibu wa Mirathi usipofuatwa kisheria hapo ndiyo mtiti unapoanzia!!
 
Wabongo bila mashart,hutoboi,yani kufanya biashara na wabongo unahitaji roho ya chuma
 
Hahah hakuna kusalimiana tena

Ova
 
Mara nyingine ni ushindani wa kifamilia na uroho wa mali tu.

Kuna watu wa kishua halafu wana pesa zao kunishinda mimi, halafu bado wanagombea mali za urithi.
Una homemade kweli, kuna familia nazijjua ziko obay na masaki wanagombana balaaa
Hawaelewani kabisa,wkt wa kesi yao ikiwa mahakamani wanaenda mpaka na waganga zao...

Ova
 
Chai
 
Ila we Mrangi una vitu vingi sana unavijua, Kanji alikuwa mtu poa sana, mimi ni mmoja wa wafanyakazi wake
 
Ila Marehemu nae alikua anamwaga za mbegu sasa watoto wote 11 angekua hata na watoto wa 3 kama mimi.
 
Bro Kiranga naomba niku ulize kitu uni shauri.
 
Naam, uliza tu.
Nipo kwenye nafasi ya ushauri wa suala la biashara fulani ya vijana 2.

Je Kama ungekuwa kwenye miaka 20 hapo, na una nafasi ya umiliki wa eneo lenye potential kiasi chake.

Ukisema uli pangishe ni Kama kutoa sadaka tu, ila kuuza ni Kama una pata mtaji wa maana.

Je ungeuza mkuu au unge endelea kuli miliki, akati mambo yako yapo ndivyo sivyo??
 
Shda ni kwamba ile pesa inakua nyingi afu hukuitolea jasho. Labda uwe na akili za maisha ndo utatoboa. Hii covid tangu imeanza wazee wengi sana wameenda wakaacha mali za kutosha kwa watoto. Hahah yani ni vichekesho kabisa, wengine wenye akili wamefanya vya maana. Shida wale wenzangu na mimi sasa....kuuza mali ya urithi sio mbaya, ubaya unakuja pale utafanya nini na hiyo pesa ukiipata....ukiendeleza ni poa sana hata mtu baki asiekujua akiskia umefanya kiti flani toka kwny urithi inakua ni sifa nzuriii
 
Mkuu ungekuwa wewe na uko mid 20 kazaa ya mwanzoni hapo.

Ungeuza na ujenge nyingine, au unge invest Kisha uendelee kusoma mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…