ApolloShadow
JF-Expert Member
- Jul 19, 2025
- 925
- 1,962
Ungekunywa alafu ukaona kingetokea nini
Yani wanamuona msela kabisa amekaa zake anafurahia maisha n kisha unamuagiza mhudumu ampe vinywaji, huo ni uhuni wa zaman na dharau, unavyodhan ndivyo kumbe sivyo mtakuja kupigwa ngumi nyingi sana.
Watu wajifunze heshima sehemu za starehe.
Wangecheza na tope la mleta uzi ndo maana aliogopa ...Ungekunywa alafu ukaona kingetokea nini
🙌🙌🙌🙌🙌Wangecheza na tope la mleta uzi ndo maana aliogopa ...
Punga hilo kila siku mara matako yangu laiini, mara napendwa, mara naogea mdalasini. Mara nakumbatiwa Kwa nyumaWewe utakuwa umesuka nywele na kuvaa heleni
Bila shaka wewe utakua ni mvulana mweupe mwenye lipsi nyekundu na macho ya kung'aaYani wanamuona msela kabisa amekaa zake anafurahia maisha n kisha unamuagiza mhudumu ampe vinywaji, huo ni uhuni wa zaman na dharau, unavyodhan ndivyo kumbe sivyo mtakuja kupigwa ngumi nyingi sana.
Watu wajifunze heshima sehemu za starehe.
atulie sasa wahuni wamefika beiPunga hilo kila siku mara matako yangu laiini, mara napendwa, mara naogea mdalasini. Mara nakumbatiwa Kwa nyuma
Angelipia tu baada ya hapo.Ungekunywa alafu ukaona kingetokea nini