Baadhi ya Night Club kuna wahuni wenye ubabe wa kizamani

Yani wanamuona msela kabisa amekaa zake anafurahia maisha n kisha unamuagiza mhudumu ampe vinywaji, huo ni uhuni wa zaman na dharau, unavyodhan ndivyo kumbe sivyo mtakuja kupigwa ngumi nyingi sana.

Watu wajifunze heshima sehemu za starehe.

Ukitaka wakuheshimu acha
1. Kujichubua
2. Kupaka wanja
3. Kulamba lamba lips
4. Kuvaa mlegezo

Wanaume wakikutumia vinywaji maana yake wamekuona either we ni demu au bwabwa.
 
Yani wanamuona msela kabisa amekaa zake anafurahia maisha n kisha unamuagiza mhudumu ampe vinywaji, huo ni uhuni wa zaman na dharau, unavyodhan ndivyo kumbe sivyo mtakuja kupigwa ngumi nyingi sana.

Watu wajifunze heshima sehemu za starehe.
Bila shaka wewe utakua ni mvulana mweupe mwenye lipsi nyekundu na macho ya kung'aa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…