Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)


amazing! Good testimony.
 

Mkuu waweza nisaidia katika biblia ni mahala gani andiko hilo linapopatikana, ili linisaidie kwa reference ninapokuwa naelimisha waumini wenzangu. maana nimelitafuta bila mafanikio.
 
Great! Tushindwe wenyewe tu. Asanteh sana mleta maada umetusaidia mania ya watu.
 
Ukifungua chuo itakuwa powa. Ila isiwe ni material umepakua sehemu ukatuwekewa wakati huwez kuyafafanua. Tutakutoa nduki!
 
Uko sahihi Chasha tatizo wote tunataka kufanya biashara kubwa tumilikii petrol station kubwa kama Victoria na hili ndo tatizo tulilonalo wengi ila barikiwa sana kwa thread hii imekaa vizuri mkuu.
 
Well said. Ukiangalia au kusoma historia za successiful entreprenuers utagundua kuwa aliowengi walianza na wazo lenyewe. Sijaona biashara ambazo zimeendelea na kuwa kubwa ambazo zilianza kwa mtaji. Kwanza ni wazo, uwezo wa kubaini kuwa hicho ndicho ulichokuwa na dhamira nacho (passion) then unafuata mtaji na kufuata ethics za biashara polepole huku ukiwa unakuwa na kuongeza wigo wa biashara yako.
 


Gudest kip it ap my future billioneer
 

Mapepo na wachawi hawakimbiwi ewe ndugu tafuta ulinzi mzuri Wa Yesu wao ndo watakukimbia. Bible says " basi mtiini MUngu mpingeni shetani naye atawakimbia" mjasiliamali lazima athubutu na alipe gharama pale anapoona fursa juu ya fursa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…