Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

Huwezi kuchangiwa mawazo kwenye biashara. Mawazo ni yako mwenyewe.

Jaribu kuja na wazo kisha ndio uombe ushauri.
 
Yaani watanzania ni Watu waajabu sana yaani kuwa tajiri lazima uwe mwizi !!!
Tatizo watanzania ni Watu wajinga kweli kwa sababu ya mawazo mgando Watu hawalali wanatafuta hela Watu wanafanya juhudi kila kona kizipata hizo hela alafu wew unasema wizi au mchawi huo si upunguani!!!

Tatizo ni uvivu na kauli yako imekaa kivivu ndio maana ukafikiri hivyo
 
Unajichekesha sana tangu lini mwizi akalala mwizi ni mtu wa timing brother.

"walio na macho hawaoni na walio wenye masikio hawasikii"

Hakuna jipya hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…