October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mathayo : Mlango 19
24 Nawaambia tena, Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu ya sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.
Pesa na utajiri Ni vitu viwili tofauti. Unaweza kuwa tajiri wa mahaba Kama Kassim Mganga lakini masikini wa pesaPesa ni jawabu la mambo yote
Huwezi kuchangiwa mawazo kwenye biashara. Mawazo ni yako mwenyewe.Habarini wana jukwaa hili. Naimani mko poa sana wa afya.
Niingie moja kwa moja kwenye mada, nina ndugu yangu anauza stationary na wadau wengi wanaoumzunguka eneo lake ni waendesha kirikuu (vigari vidogo vya mizigo).
Nimewaza sana, je ni biashara gani naweza invest ukiachana na vinywaji, chakula, karanga na chai?
Mawazo yako naomba Biashara ya mtaji mdogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio umesema. Mimi nimesema hakuna tajiri yoyote asiye mwizi awe mpole au mkali, wizi ndio fomula ya utajiri duniani kote.Sio kweli mleta mada. Ina maana akina Mo sijui Bakhresa ni wezi?
Haahaa acha kujidanganya na maneno ya kuambiwa kwa mdomo uliowekwa tabasamu feki. Utajiri chanzo chake ni wizi.Siri ya utajiri ni ubahili.
Unajichekesha sana tangu lini mwizi akalala mwizi ni mtu wa timing brother.Yaani watanzania ni Watu waajabu sana yaani kuwa tajiri lazima uwe mwizi !!!
Tatizo watanzania ni Watu wajinga kweli kwa sababu ya mawazo mgando Watu hawalali wanatafuta hela Watu wanafanya juhudi kila kona kizipata hizo hela alafu wew unasema wizi au mchawi huo si upunguani!!!
Tatizo ni uvivu na kauli yako imekaa kivivu ndio maana ukafikiri hivyo