Vizuri sana, nafarijika kuona umeamua kuchoma meli moto, hakuna kisicho wezekana chini ya jua ukiwa na nia dhabiti,kikubwa ni kuto kata tamaa n usikubali hata siku moja kukatishwa tamaa na kwa walewenye muelekeo wa kukatisha tamaaa hata kama ni ndugu wapotezee mbali sana.
Ujasiriamali ni sawa na mbio za Marathoni, unazuguka uwanja mara 40 nainabakia mita 300 kumaliza mbio unaamua kujitoa.
Fikilia umetumia mudamwigi sana, pesa, kuanzisha project and then unakuja kusalimu amri baadae, inasikitisha sana, so wewe pambana kwa njia yoyote ile, jamii inaweza isikuewe kwa sasa, ila ipo siku watakuelewa hata kama ni baada ya miaka kadhaa,
Unapo lala ota biashara yako, ukiamka wakati wa kuswaki fikilia bishara yako,wakati wakati wa chai, waza biashara yako, mchana hivyo hivyo, wazungu wanasema kufall in love katika biashara, ushawahi sikia hii? so ipo hiyo ya kufall in love katika bishara yako
So dada optional uliyo nayo kwa sasa ni moja tu, only business, so uko kisiwani na umeachwa peke yako, so u need to fight kufa na kupona, na dont accept U-TURN,