Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)


Well said mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hii mada imekuja wakati husika maana ni mwezi wa kwanza nimeacha kazi na kuamua kutumia ujuzi nilionao kua mjasiriamali. Sitarajii kuajiriwa tena nimeamua kupambana mpaka kieleweke. Uoga wako ndo umasikini wako.

Safi sana mkuu, hutakiwi ku give up, never give up kirahisi rahisi, unatakiwa kupambana mpaka point ya mwisho,
 
Jaman tuache uvivu wa kufikiri na visingizio visivyo na mwisho wala maana, nakumbuka nilianza na mtaji wa 150000 na mpaka sasa nina mtaji wa zaid ya milioni 20 japo sio kazi ndogo lkn ukweli nikwamba mafanikio yanahitaji kujibana ili kutimiza malengo. Na kizuri zaid nikwamba kwa sasa nakopesheka lkn huko mwanzo ilikua ni ndoto.
 
Duh! Kaka David godfrey hiyo story yako nimeipenda sana kama ni kweli, jamaa kaitoa na sisi tuige mfano wake! big up
 

The best point mkuu. Monet management ni tatizo kubwa sana kwa sisi Watanzania.
 

Mmh, we utakua mswahili wa TATAKI
 
Mkuu Chasha,

Nakubaliana na wewe kwa thread yako .ila kwa kuongezea Kwa mazingira ya Tanzania pia ni vizuri mtu anapotafuta mtaji asiangalie hobi ila atazame kile anachopata kwa kile anachofanya je kitampatia kipato cha kutekeleza hobby yake mbeleni?

Ama sio vibaya kuridhika na kile mtu anachokifanya ili mradi ni halali na kinamtekelezea matakwa yake ya kimaisha. Nasema hivi kwa kuwa kuna wengine hukomaa na hobby hadi kujishindwa kimaisha. Japokuwa on the run oppotunities zinatokea ama wanapewa ushauri na kuukataa.
 
Last edited by a moderator:

Unataka nilie au? maana naona kama mnanisema mimi tu humu. Kubana matumizi kwangu mtihani lakini nimewasoma, nitajitahidi. Ni leo tu nimetoka kupokea kodi ya "fremu" - nimei-sublet baada ya biashara kunishinda. Nimefanya biashara miaka 3, hivi karibuni imeyumba weee mpaka nikaanza kutumia mshahara kuiendesha. Nikafika mahali nikaona isiwe tabu - hela iliyokuwa imebaki nimepeleka benki lakini niulize basi nataka kuifanyia nini sijui!!!! Ngoja nitulie kidogo kisha nitawa-pm mnisaidie. Mbarikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…