ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Nilikutwa na dhoruba kule kwenye jukwaa la wabishi
Pole sana kiongozi. Taratibu taratibu kule, tunakuhitaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikutwa na dhoruba kule kwenye jukwaa la wabishi
Mama Joe na Chasha, nimeipenda hii. Tunapaswa kubadilika ila naamini haya mabadiliko yatachuku muda kupatikana. Tayari mfumo wa maisha umesha waadhiri watanzania wengi. TUTASHINDA
dah!mi huwa nachungulia 2 hili jukwaa,nakuwa busy na jukwaa la siasa!ila kwa uzi huu nashukuru sana mmenibadirisha mawazo yangu,nimejifunza mengi,kiukweli hasa nidham ya pesa na kubana matumizi yasiyo ya lazima!
Nasema asanteni sana
...japokuwa nilikuwa nahangaika kusaka ajira mwaka wa 3 ss,lkn basi kutokana na jukwaa hili nimegundua nina uwezo wa kufanya kitu/bnes na nikaajiri watz wenzangu km kuna seriousness!
Ni kweli kabisa, Tatizo liko katika Udhubutu, hapo ndo watu wengi sana tunapo shindiwa, Kila mtu ana penda sana kuwa Mjasirimali, ila tatizo linakuja kwenye Kuchoma Meli Moto, inahitajika ujasiri wa ziada, Ila Kitu kmoja nilicho gundua ni kwamba Uoga wa kuingia katika Ujasiriamali ni sawa na Uoga tunao kuwa nao tunapo anza Paper, Ila ukisha piga paper kama mbili tatu hivi Uoga huisha, hata kwenye Ujasirimali ni hivyo tu, kuna time uoga huisha kabisa
Chasha wewe kaka/dada huwa nakukubali sana. Una mind set tulivu. Usichoke kutuelimisha wa tz wenzio