Baadhi ya nyimbo za WASAFI zapigwa marufuku, Diamond ashutumiwa kutolipa kodi anapofanya kazi Kenya

Msemaji was baraza LA Sanaa Kenya amepiga marufuku msanii wa mziki wa kizazi kipya nasibu abduli kufanya show Kenya huku akipiga nyimbo ambazo zimefungiwa tanzania.

Amesema hivyo huku akinukuu wimbo wa kwangwaru. Na kusema hayo ni matusi hususan diamond halipi kodi Kenya hivyo nyimbo zilizofungiwa tz hazitapigwa kenya.

Source Millard ayo.

Screenshot_20190318-190218.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii habari imekaa kishakunaku sana, kwangwaru ina muda mrefu toka itoke why now? Halafu suala nyeti kama hilo nilitegemea mwakyembe wao ndo alizungumzie.
 
Lina unyeti gani hadi Mwakyembe alizungumzie, yaani waziri apoteze muda wake kuzungumzia mambo ya kipuuzi kama hayo. Wewe hauko serious kwa kweli?

Aliyeandika hapa ni mtu wa serikali yao au ni hawa vilaza wa Mitandaoni? Kodi hailipiki kivipi?
Msemaji was baraza LA Sanaa Kenya amepiga marufuku msanii wa mziki wa kizazi kipya nasibu abduli kufanya show Kenya huku akipiga nyimbo ambazo zimefungiwa tanzania.

Amesema hivyo huku akinukuu wimbo wa kwangwaru. Na kusema hayo ni matusi hususan diamond halipi kodi Kenya hivyo nyimbo zilizofungiwa tz hazitapigwa kenya.
Source Millard ayo.

View attachment 1048455

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lina unyeti gani hadi Mwakyembe alizungumzie, yaani waziri apoteze muda wake kuzungumzia mambo ya kipuuzi kama hayo. Wewe hauko serious kwa kweli?

Wewe ndo hauko serious, yule naibu waziri akiwafungia wasanii mbona anaweka press?
 
Habari yenyewe haina correlation ya ideas ipo ipo kama kaandika mwanafunzi wa Sunday school mbona kapika mseto wa habari mara nyimbo matusi mara alipi kodi mara corrupt mara ngwangwaru,apunguze jazba akae chini aandike vizuri. Pumb🍇vu
 
Back
Top Bottom