nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,602
- 20,181
Vile hatuzielewi za wakongo ndo poa coz matusi hatuyasikiiNdio maana ya ubunifu hiyo. Mnafanya maisha magumu mno. Huwa mnasikiliza na kuzielewa nyimbo za wakongo!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vile hatuzielewi za wakongo ndo poa coz matusi hatuyasikiiNdio maana ya ubunifu hiyo. Mnafanya maisha magumu mno. Huwa mnasikiliza na kuzielewa nyimbo za wakongo!?
Hii habari imekaa kishakunaku sana, kwangwaru ina muda mrefu toka itoke why now? Halafu suala nyeti kama hilo nilitegemea mwakyembe wao ndo alizungumzie.
Msemaji was baraza LA Sanaa Kenya amepiga marufuku msanii wa mziki wa kizazi kipya nasibu abduli kufanya show Kenya huku akipiga nyimbo ambazo zimefungiwa tanzania.
Amesema hivyo huku akinukuu wimbo wa kwangwaru. Na kusema hayo ni matusi hususan diamond halipi kodi Kenya hivyo nyimbo zilizofungiwa tz hazitapigwa kenya.
Source Millard ayo.
View attachment 1048455
Sent using Jamii Forums mobile app
Lina unyeti gani hadi Mwakyembe alizungumzie, yaani waziri apoteze muda wake kuzungumzia mambo ya kipuuzi kama hayo. Wewe hauko serious kwa kweli?
hilo la kodi hata mimi sijalielewa' hivi kuna nyimbo zina matusi kama za ulaya? au tatizo lugha ndiyo viongozi wetu hawajui kuwa nyimbo hizo zinaimba matusiAliyeandika hapa ni mtu wa serikali yao au ni hawa vilaza wa Mitandaoni? Kodi hailipiki kivipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi nakazia hapo hapo!![emoji848][emoji848][emoji848]Source Millard Ayo tena? Kaanza lini kureport habari za mond