Baadhi ya pombe zinazozalishwa Tanzania zapigwa marufuku kuuzwa Rwanda

Yaani sasa Rwanda haitaki Mataputapu kutoka Tanzania. Ila double kiki imepenya🤣🤣

Watengeneza pombe wameagizwa kuziondoa sokoni, na kusitisha matangazo ya pombe kila sehemu hata mabango yaondolewe. Seriously note.

Mtu eti anamaliza mzinga mwenyewe na halewi.

Mipombe ya Tanzania ni mimaji tu.

Sasa hakuna kuvuka boda kuingia Rwanda..

Sijataja Kampuni ya Mtu. Ila soon wataanza kutoa Mlio

Rwanda wameamua kuokoa kizazi chao hasa Vijana
View attachment 3644030
Kwa mujibu wa Sheria N° 003/2018 ya tarehe 09/02/2018 iliyoanzisha Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Rwanda (Rwanda FDA) na kubaini dhamira, mpangilio na utendaji kazi wake; hasa katika Kifungu chake cha 9 (2);

Kwa maslahi ya afya ya umma, FDA ya Rwanda inawafahamisha waagizaji wote, wasambazaji, wauzaji rejareja na umma kwa ujumla kwamba uingizaji wa vinywaji vyenye pombe vilivyoorodheshwa katika Kiambatisho I umesimamishwa kwa muda na kuanza kutumika mara moja. Hivyo, hatua zifuatazo za udhibiti zinaanza kutumika mara moja:

1. FDA ya Rwanda inawaagiza waagizaji wa bidhaa hizi kuanza mara moja kurudisha bidhaa hizo zote.

2. FDA ya Rwanda yawaagiza waagizaji wa bidhaa za kigeni kuwaomba wasambazaji husika mara moja ili kurejesha bidhaa zilizoorodheshwa kutoka kwa wateja wao, kurudisha hisa za sasa na bidhaa zilizorejeshwa kwa waagizaji.

3. FDA ya Rwanda inawaagiza waagizaji kuwasilisha ripoti za kurejeshwa kwa bidhaa ndani ya siku 3 za kazi tangu kuchapishwa kwa tangazo hili.

4. FDA ya Rwanda inawaagiza wasambazaji na wauzaji rejareja wote wa bidhaa zilizoorodheshwa katika Kiambatisho cha I kuacha mara moja usambazaji na uuzaji wao, na kuwarejeshea waagizaji wao kiasi kilichobaki mara moja.

5. Kutofuata yote yaliyo hapo juu kutasababisha hatua chini ya vifungu vya udhibiti vinavyotumika.

6. FDA ya Rwanda inawataka watumiaji wa vileo vilivyoorodheshwa katika Kiambatisho cha I kuacha mara moja matumizi yao.

7. Matangazo yote na nyenzo za utangazaji wa vileo zilizoorodheshwa katika Kiambatisho I, lazima ziondolewe mara moja kutoka popote zinapoonyeshwa.

Kumbuka: Orodha ya bidhaa zingine husika itatolewa kwa wakati unaofaa kadri utekelezaji wa sheria unavyoendelea.

FDA ya Rwanda inathamini uelewa na ushirikiano wako ndugu Mtanzania 🤣

Tzee na safari gin sio pombe ni something else
 
Mbona siyo Tanzania tu au we mpumbavu umeona Tanzania tu? Nyumbu wa chadema ni viumbe wapumbavu hawana mfano duniani, unafurahia nchi yako kupata matatizo we una nchi nyingine? Kwamba kwa njia hiyo chadema kitaingia madarakani? Kwamba uinyee kambi inayokusitiri? Kamwe asilani hamuwezi kuongoza nchi yetu
 
Yaani sasa Rwanda haitaki Mataputapu kutoka Tanzania. Ila double kiki imepenya🤣🤣

Watengeneza pombe wameagizwa kuziondoa sokoni, na kusitisha matangazo ya pombe kila sehemu hata mabango yaondolewe. Seriously note.

Mtu eti anamaliza mzinga mwenyewe na halewi.

Mipombe ya Tanzania ni mimaji tu.

Sasa hakuna kuvuka boda kuingia Rwanda..

Sijataja Kampuni ya Mtu. Ila soon wataanza kutoa Mlio

Rwanda wameamua kuokoa kizazi chao hasa Vijana
View attachment 3644030
Kwa mujibu wa Sheria N° 003/2018 ya tarehe 09/02/2018 iliyoanzisha Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Rwanda (Rwanda FDA) na kubaini dhamira, mpangilio na utendaji kazi wake; hasa katika Kifungu chake cha 9 (2);

Kwa maslahi ya afya ya umma, FDA ya Rwanda inawafahamisha waagizaji wote, wasambazaji, wauzaji rejareja na umma kwa ujumla kwamba uingizaji wa vinywaji vyenye pombe vilivyoorodheshwa katika Kiambatisho I umesimamishwa kwa muda na kuanza kutumika mara moja. Hivyo, hatua zifuatazo za udhibiti zinaanza kutumika mara moja:

1. FDA ya Rwanda inawaagiza waagizaji wa bidhaa hizi kuanza mara moja kurudisha bidhaa hizo zote.

2. FDA ya Rwanda yawaagiza waagizaji wa bidhaa za kigeni kuwaomba wasambazaji husika mara moja ili kurejesha bidhaa zilizoorodheshwa kutoka kwa wateja wao, kurudisha hisa za sasa na bidhaa zilizorejeshwa kwa waagizaji.

3. FDA ya Rwanda inawaagiza waagizaji kuwasilisha ripoti za kurejeshwa kwa bidhaa ndani ya siku 3 za kazi tangu kuchapishwa kwa tangazo hili.

4. FDA ya Rwanda inawaagiza wasambazaji na wauzaji rejareja wote wa bidhaa zilizoorodheshwa katika Kiambatisho cha I kuacha mara moja usambazaji na uuzaji wao, na kuwarejeshea waagizaji wao kiasi kilichobaki mara moja.

5. Kutofuata yote yaliyo hapo juu kutasababisha hatua chini ya vifungu vya udhibiti vinavyotumika.

6. FDA ya Rwanda inawataka watumiaji wa vileo vilivyoorodheshwa katika Kiambatisho cha I kuacha mara moja matumizi yao.

7. Matangazo yote na nyenzo za utangazaji wa vileo zilizoorodheshwa katika Kiambatisho I, lazima ziondolewe mara moja kutoka popote zinapoonyeshwa.

Kumbuka: Orodha ya bidhaa zingine husika itatolewa kwa wakati unaofaa kadri utekelezaji wa sheria unavyoendelea.

FDA ya Rwanda inathamini uelewa na ushirikiano wako ndugu Mtanzania 🤣

Halafu Kagame anapenda sana kujibaraguza na hako kawilaya kake, tungekuwa na Rais mwamba km kuna bidhaa zinatoka kwao zipigwe ban mara moja, " TIT FOR TAT" ana gundu huyo mbwa ndiyo maana amekondeana muda wote, sijui anataka ale damu ya mtu?
 
Rwanda FDA ilisema uamuzi huo umechukuliwa “kwa maslahi ya afya ya umma,” ingawa taarifa yake haikubainisha sababu maalum za kiusalama, ubora au masuala ya udhibiti yanayohusiana na kila bidhaa. Mamlaka hiyo iliongeza kuwa orodha nyingine ya bidhaa zilizoathiriwa itatolewa kadri utekelezaji wa hatua hizo utakavyoendelea.
Kuna yule jamaa alisema viwango vya ubora vya juice za Azam nk ni vya chini na hatari kwa afya za walaji, sasa leo ni pombe, hawa weupe watatumaliza
 
Back
Top Bottom