Tetesi: Baadhi ya viongozi kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda Ulaya na Marekani

Acheni elements za ki DICTATOR na mambo yatakuwa mazuri. Democracy haileti umasikini bali maendeleo ya kweli.
Democrasia umekuwa nayo miaka mingi na hujaeta maendeleo.. bado masikini.. Leo tunainua uchumi wetu na kukemea vitendo vya wizi .. wewe unakaa tu kusemea wanaume wa ulaya .. Eti Domokorosia... Mtu ushinde unapiga porojo bila kufanya kazi kisa democrasia..
 
Ndo msaada pekee uliobaki kuinusuru hali yetu dhidi ya wakoloni weusi.
Watu wengne buana.....!!!! Mnadhan ulaya kuna wajomba wenu? Mbona mnawaamini sana hawa kupita kiasi?
 
Hiyo itakuwa ni nafuu kuliko trade embago na kusitishiwa misaada na mikopo kwani hao hata wasipoenda siyo shida sana kwakuwa rais mwenyewe haendi
Mkuu huwa wanaanza kidogokidogo...na wanaoumia ni wananchi wa chini
 
Inasemekana vikwazo vinaweza kuwakumba, Paul Makonda, msajili wa vyama vya siasa, na baadhi ya viongozi wa juu wa serikal

Wengine wanaoweza kukumbwa na kadhia hii ni:- Dr Mpango; Dotto , paymaster General; Kalemani , Waziri wa Nishati; Mwakyembe , Waziri wa habari;Kabudi Palamagamba na spika Ndugai!!! Na washiriki wa Jiwe wa karibu ambao hawatangazwi lakini watanyimwa visa kimya kimya!
 
Ilitakiwa wazuie kabla Keagan hajazaliwa...now its too late
 
.
 
Kwahiyo maazimio 15 wametusingizia mpuuzi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…