Baadhi ya Viongozi wa BAWACHA waliofika Ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe waanza kukamatwa

Mnafahamu ulinzi wa ubalozi wa Marekani?
Kwa taarifa yenu wale waliofanya lile tukio pale system ya ubalozi inajua na iliwaambia wakae upande upi wa viwanja.Kundi kama lile bila taarifa hata getini wasingekanyaga.
Kwamba ubalozi wa Marekani ndo uliwaomba waende wakajibinue pale?

Unazungumzia ulinzi wa ubalozi wa marekani? Hahahaha wale hawakuwa na lolote baya la kudhuru ndiomaana hata kuhuona yeyote aliehangaikia nao, leo ni siku ya ngapi haujasikia chochote kuhusu kukamatwa kwa kiongozi wenu?

Kila siku tunawaambia wale wapo kwaajili ya maslahi yao sio kwamba wanawapenda sana ila hamsikii, Sasahivi Samia anakula na sahani moja haitakaa usikie chochote kutoka kwao.
 
Reactions: mmh
Hii nchi haitatawalika
Leo siku ya ngapi tangu Mbowe akamatwe? Mmefanya lipi hasa japo kupinga alichotendewa let alone kuhakikisha nchi haitawaliki? Hatufurahii yanayowakumba lakini haipendezi kuona wanaodhulumiwa wakijipa matumaini hewa bila kuchukua hatua stahili.

Tatizo kubwa ni kwamba wengi wenu mna ujasiri kwa kutumia fake ID mtandaoni lakini when it comes to mapambano halisi yanayohitaji watu halisi, mnayeyuka.
 
Jibu langu limekuja kulingana na hoja ya mtu niliemquote ndio maana yeye kanielewa, wewe kama hujaelewa chochote subiria zile thread mseleleko useleleke nazo.
 
Yani BAVICHA mnashindwa na BAWACHA? Embu tokeni huku,ingieni field bwana.
 
Wewe mwenyewe ni mpumbavu mkubwa unawezaje kujua upumbavu? Maisha yako yanabadilika kwa kuwabambikia kesi wapinzani ndiyo maana unashabikia uonevu unyanyasaji wenu kwa wapinzani
Boss, unateseka ukiwa maeneo gani.? Hata kura ya mwenyekiti wa mtaa sijawahi kupiga
 
Tatizo ni bi kidude
 
Shida ni kuwa hamna clause kama hiyo ( clawback or otherwise). Sheria iliyokuwepo haiwapi polisi ya kuzuia maandamano arbitrarily. Lakini kwa sababu imekuwa tabia basi watu wanaikubali. Ni kama vile watu wanavyokubali kuwa arrested bila kupewa sababu. Au watu kukaa ndani bila kupelekwa mahakamani katika muda unaotakiwa. Sheria zipo lakini zinakuwa misinterpreted au totally ignored.

Ila unaweza kuwa sahihi kuwa hii sheria imewekwa ili itoe mwanya wa raia kunyimwa haki yao ya msingi. Anything is possible.

Amandla...
 
Yani BAVICHA mnashindwa na BAWACHA? Embu tokeni huku,ingieni field bwana.
Hapana,bavicha wasitoke hawana uzito Bali wanahasira.
Bawacha hawana sumu na ujumbe unafika kimaumivu
 
Lissu, alisema kiongozi yoyote akikamatwa na polisi hawatahangaika kumtoa polisi wakitaka wakae nae na wamfanye watakalo! Huo ndiyo msimamo wa chama vipi tena mnaenda kugaragara ubalozi wa Marekani?
 
Nani alikuambia kwenda ubalozini kunahitaji kibali ?
Hivi hizi sheria mnazitoa wapi ya uvamie ubalozi wa watu bila kibali, wewe nakusifu sana maandamano yako unafanyia JF hautaki shida.
 
Hii nchi haitatawalika
Sasa ndiyo nimeamini hii nchi ni rahisi sana kuitawala..........yaani wabongo wakijifanya wanatoka mbele we unawachapa moto wawili watatu...then wote wanakimbia kujificha makwao..shughuli imeisha
 
hili la ubalozini unalichukulia poa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…