Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kwamba ubalozi wa Marekani ndo uliwaomba waende wakajibinue pale?Mnafahamu ulinzi wa ubalozi wa Marekani?
Kwa taarifa yenu wale waliofanya lile tukio pale system ya ubalozi inajua na iliwaambia wakae upande upi wa viwanja.Kundi kama lile bila taarifa hata getini wasingekanyaga.
Unazungumzia ulinzi wa ubalozi wa marekani? Hahahaha wale hawakuwa na lolote baya la kudhuru ndiomaana hata kuhuona yeyote aliehangaikia nao, leo ni siku ya ngapi haujasikia chochote kuhusu kukamatwa kwa kiongozi wenu?
Kila siku tunawaambia wale wapo kwaajili ya maslahi yao sio kwamba wanawapenda sana ila hamsikii, Sasahivi Samia anakula na sahani moja haitakaa usikie chochote kutoka kwao.