Baadhi ya Viongozi waliokufa vifo tata

Baadhi ya Viongozi waliokufa vifo tata

Ni sawa tu wote njia moja nakushangqa wewe unaona miujiza kufa kwa raisi alikufa raisi wa USA . itakuwa yule nyapara mchunga mifugo?
Mungu ndiyo aliyeumba na ndiye anaua kumlalamikia ni ujuha . Ulitaka afe nani sasa?
Mlijinoma sana kuiondoa damu mbichi ile. Mtailipia, Kaanza Membe, wengine jipangeni.
 
Yaani magufuli ajue mtu katekwa na mbaya wake akae kimya? Wewe utakuwa ulimjua ukiwa mkubwa ? Unakumbuka alichokisema kuhusu kisiju? Nn kilimtokea gwanda? Au unafikiri sisi tunaishi ulaya?
Peekaboo propaganda zako usukumani huko
Ninakuona ulivyo upande ule. Tetea sana uovu wenu. Mjue siku zenu zinahesabika.
 
Ninakuona ulivyo upande ule. Tetea sana uovu wenu. Mjue siku zenu zinahesabika.
Upo kwenye jukwaa la majadiliano. Unataka wote wawe na mtazamo kama wa kwako? Ulienda shule wewe? Unafikiria Tanzania ni ya bibi yako kwamba unachokiamua wewe ndiyo msimamo wa wote . Kawatishe wafugaji wenzio mwehu mmoja wewe. Mmekaa mnaendeleza chuki kila kukicha kisa fulani kafa? Amekufa kambarage na hapajatokea kitu itakua hizo takataka za kuokota jalalani?
 
Mlijinoma sana kuiondoa damu mbichi ile. Mtailipia, Kaanza Membe, wengine jipangeni.
Membe alikuwa nani sasa? Si alikuwa mtumishi wa umma kama wengine tu. Amekufa kwa mapenzi ya mungu we umakaa na ka bundle kako ka mkopo hapo unatisha watu. Kwa hiyo na mkapa aliuwawa? Nyerere pia aliuwawa? Embu muwe na imani basi
 
Upo kwenye jukwaa la majadiliano. Unataka wote wawe na mtazamo kama wa kwako? Ulienda shule wewe? Unafikiria Tanzania ni ya bibi yako kwamba unachokiamua wewe ndiyo msimamo wa wote . Kawatishe wafugaji wenzio mwehu mmoja wewe. Mmekaa mnaendeleza chuki kila kukicha kisa fulani kafa? Amekufa kambarage na hapajatokea kitu itakua hizo takataka za kuokota jalalani?
Ukianza dharau, ninaweza. Nasimamia ninachokiamini. Simamia unachokiamini.
 
Ukianza dharau, ninaweza. Nasimamia ninachokiamini. Simamia unachokiamini.
Wewe kama unaenda kanisani au msikitini usiende maana huna imani? Mungu kuchukua kiumbe chake alichoumba mwenyewe wewe unaweweseka? Hujawahi kufiwa wewe? Tuseme hata ndugu zako waliofariki nao kuna watu wamewaua?
Mtaacha lini mambo ya kuzushia watu uongo kwa manufaa ya kikabila, dini na siasa za kikanda.?
Kifo cha membe na magufuli ni vifo kama vingine tu wewe hivyo vitisho kwa wengine walio hai unavitoa wapi?
Mbona hata nyerere na sokoine waliofanya makubwa walikufa? Nani aliwaua?
 
Dr.Mgimwa na Steven Kibona wote walikufa wakiwa Mawaziri wa Fedha na wote walifia Nje ya Nchi
Kama sinema, ila maisha ya watu yanaenda.

Bwana alitoa, bwana ametwaa. Jina la bwana lihimidiwe. Nimemsikia JK wakati wa kutoa salamu msibani kwa Membe.
 
Kama sinema, ila maisha ya watu yanaenda.

Bwana alitoa, bwana ametwaa. Jina la bwana lihimidiwe. Nimemsikia JK wakati wa kutoa salamu msibani kwa Membe.
Sasa kama bwana alitoa bwana ametwaa hizi nongwa za kuwatishia wengine zinatoka wapi? Kwani imeandikwa kwamba atangulie nani? Unasema mmeua damu mbichi halafu unaudited kwenye maandiko?
Na wale wanaofia matumboni mwa mama zao je? Nao wameuawawa?
Elimu, elimu, elimu
 
Mbona unaloloma kama umeingiliwa root, vipi?
 
Mbona unaloloma kama umeingiliwa root, vipi?
Mm silolomi nakushangaa tu namna ulivyo na uwezo mdogo wa kuchanganua masuala. Kama mpaka leo bado unaabudu watu badala ya nchi yako. Upo tayar watu wahasimiane kisa mungu alichukua kiumbe wake sasa naloloma nn hapo? Unaenda mbali kwa kuwatisha watu ambao kimsingi siyo wanaoumba wala kuua. Wewe pia na mm hatujui tunakufa lini? Lakini unalalamikia vifo vya wengine sasa si lazima tukushangae?????
 
Back
Top Bottom