Baadhi ya Viwanda vya kimkakati alivyoanzisha Mwl. Julius Kambarage Nyerere ambavyo ni magodauni na magofu

Naona unatetea mpaka unajichanganya. Uliyokubali kabla sasa unayakataa. Mnufaika wa huo utaratibu hatuwezi kubadilisha mawazo yake. Its impossible!
 
Hiyo siyo sababu ya uamauzi na utekelezaji hafifu namna ile bila kujali Taifa. Nikuulize swali, TANESCO ilikuwa inaliingizia nini Taifa? Kwanini hiyo hawakudhubutu basi kuibinafsisha?

..Tanesco sio sawa na kiwanda cha chibuku au tumbaku ndio maana mpaka leo haijabinafsishwa.
 
Naona unatetea mpaka unajichanganya. Uliyokubali kabla sasa unayakataa. Mnufaika wa huo utaratibu hatuwezi kubadilisha mawazo yake. Its impossible!

..tatizo lako unatoa statement za jumla-jumla na kusema uongo wakati mwingine.
 
Ni awam ya tatu ndio iliua kila kitu

..hapana.

..viwanda vilikuwa na matatizo tangu awamu ya kwanza.

..ndio maana kulikuwa na foleni za mkate wa boflo, sukari, unga wa sembe, mafuta ya kupikia, sabuni, etc.
 
Hii dhana mpaka sasa ipo ila wamei dilute ukiwa na biashara kubwa kuletewa barua uchangie chama au mwenge hata kama sio mwanachama [emoji23][emoji23] tena barua rasmi toka wilayani na mhuri juu, nchi ina mambo ya ajabu hii, kama unahisi naongopa kipindi cha mwenge au ziara ya kiongozi wa chama kupigwa mzinga uchangie ndio zao sasa ole wako ukatae utaona cha mtema kuni mbona biashara utafunga [emoji3525]
 
Ni vingaapi kati yao "vimekaliwa na Waasia na matajiri wengine wenye asili ya kiarabu" ? Tuletee data kama unazo badala ya kutumia maneno ya kibaguzi ili kuficha ujinga
 
Aliyeruhusu ulaji wa chips yai ndiye aliyeharibu akili za WA Tanganyika.
 
Ni vingaapi kati yao "vimekaliwa na Waasia na matajiri wengine wenye asili ya kiarabu" ? Tuletee data kama unazo badala ya kutumia maneno ya kibaguzi ili kuficha ujinga
Wanaoelewa wameshanielewa, na kila uchao mambo yanazidi kudhihirika, matusi yako wala hayatabadilisha jambo. Ubaguzi si jambo ninaloliamini, ila inatosha kusema umekurupuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…