lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Itakua ni jambo jema sana.Kesho jioni Mkulungwa ataunguruma.
Habari za uongo walizoandika ni zipi mkuu?maana mimi nipo namtumbo huku sijui hao nchi jirani wameansika nn &maana ulivyoandika utazani wote tupo karibu na nchi jiraniMagazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki.
Mfano People Daily online hasa la leo.
Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
Wanajisifu kuwa wait Wana huduma bora za matibabu kuliko nchi yeyote ukanda huu. Na kwamba kwao sasa imekua ni kama utalii wa kimatibabu.Tatizo sisi hatupendi habari, wakitoa wengine lazima tusumbuke.
BTW, ebu ilete hapa tuiweke kwenye mizani hiyo habari
Basi sawa ni jambo la kheri.Kesho jioni Mkulungwa ataunguruma.