Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akisema .... yupo .....
Katika Information Theory, uongo unakanushwa kwa ukweli.Huwezi kuendesha nchi kwa hearsay ! Yaani watu waache kufanya shughuli za kunufaisha watanzania, waanze kufanya ufafanuzi uzushi wa waliokosa hoja!
Hao waliokosa hoja wangeonekana wa maana kama wangekuja na hoja za kuwawezesha watanzania kufurahia uchumi huu wa kati kisha na kuwapa mbinu ya kuwawezesha watanzania waiingize nchi yao Jamhuri ya Muungano Tanzania kwenye uchumi wa kwanza. Lakini wapi wapo tu "wanajibaraguza"!
Hii nguvu ungeitumia kuhoji institution ya kifalume na malikia huko Uingereza juu ya tuhuma nzito za ubaguzi kwa mkwe wao na mjukuu wao, ungeondoa dhana nzima ya biased opinions na double standard based narratives unazoelekea kuziunga mkono!!Katika Information Theory, uongo unakanushwa kwa ukweli
hawezi toka sababu watu fulani wameamua waandike hawezi kutoka.Dawa ya muongo ni ndogo.
Akisema uongo, kanusha kwa ukweli...
Wewe unauhakika gani kuwa ni uongo? Hakuna anaekanusha wala anaetoa ufafanuzi. Kuna methali ya kiswahili isemayo ' Lisemwalo lipo, kama halipo laja'. Penye ukweli uongo hujitenga. Ni vyema ukweli uutenge uongo.Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki.
Mfano People Daily online hasa la leo.
Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
Hiyo kauli ya mwisho eti watanzania tushikamane imekufa...labda ccm mshikamane.....umoja wa kitaifa umekufa ndio maana watu wanaiombea nchi na viongozi mambo mabaya...Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]waje wajifunze kwa habib mchange na musiba jinsi ya kuendesha magazeti kwa uweledi kabisa
View attachment 1723109
Mimi si raia wa Uingereza, wala si mkazi wa Uingereza.Hii nguvu ungeitumia kuhoji institution ya kifalume na malikia huko Uingereza juu ya tuhuma nzito za ubaguzi kwa mkwe wao na mjukuu wao, ungeondoa dhana nzima ya biased opinions na double standard based narratives unazoelekea kuziunga mkono!!
Wewe unajuaje hawezi toka kwa mpango huo na hajafa tayari?hawezi toka sababu watu fulani wameamua waandike hawezi kutoka.
anatoka wakati wake wa kutoka unapokuwa umefika.
kwenye hili lazima tujue rais na msanii wa bongofleva ni tofauti.
Last time alifanya teuzi na akaapisha kutufunga vidomo domo...mara ngapi jukwaani anajibu tuhuma za mtandaoni ndo ashindwe hii???Magufuli na selikali haiwezi kufanya kazi kihuni namna hiyo!
Sabaya tu aliwapuuza sembuse Magufuli?
Kwanza kina malkia washajibu huko... ila hapa watueleze kipi ni kipi??Mimi si raia wa Uingereza, wala si mkazi wa Uingereza.
Tuongelee ya kwetu Tanzania kwanza kabla ya kujishaua kuhusu ya Uingereza.
Usitake kupoteza mjadala.
Uhuni ni kuacha nchi inakuwa katika mtafaruku kwa sababu rais hajaonekana hadharani wiki mbili bila kutoa maelezo yenye ushahidi wa wazi kuhusu hali ya rais.Magufuli na selikali haiwezi kufanya kazi kihuni namna hiyo!
Sabaya tu aliwapuuza sembuse Magufuli?
kitu ninachoweza kukwambia ni kwamba hajafariki.Wewe unajuaje hawezi toka kwa mpango huo na hajafa tayari?
Hawa wengine uwezo wao mdogo wa kufikiri unajionesha hata kwenye majibizano nao hapa.Kwanza kina malkia washajibu huko... ila hapa watueleze kipi ni kipi??
Hahahaha nasema tena mbona huwa anajibu mambo ya mtandaoni akiwa jukwaani??? Mbona huwa wanatoa waraka wanapoona jambo linapotoshwa... Mpango kaenda kuongea na waandishi huku ana canula bado na kukohoa kama kote... kawasamehe waliomzushia kifo..hapo hajajibu uzushi wa watu??? Si tuambiwe tu kipenzi chetu, Raisi wetu, amiri jeshi mkuu wetu yu wapi maana tumemiss kufikewa bana [emoji23][emoji23][emoji23]Narudia Selikali haiwezi kufanya kazi kihuni kwa shinikizo la mihemuko ya wahuni wachache aina ya kina Lisu