Ebana wanajamvi inakuwaje
Msomi, mtangazaji, mchekeshaji, mhamasishaji (influencer) na mchekeshaji maarufu DC Mwijaku mtu wa maana sana halaaa amejiwa juu na baadhi ya waislam kwenye ukurasa wake wa Facebook baada ya kuposti video akiwa likizo na familia yake dubai.
Waumini hao wamekasirika na kufedheheshwa na kudai Mwijaku anaudhalilisha Uislamu kwa mavazi ya aibu waliyovaa mke wake na binti yake ambao wako likizo wakila bata Dubai.
Wahafidhina hao ambao walitokwa na povu kali na kuposti comment zao kwa jazba na kudai haiwezekani majuzi tu Mwijaku alienda hijrah Mekkah kwenye ibada takatifu na kuruhusu kuudhalilisha uislamu.