Baadhi ya waislamu wamjia juu Mwijaku kwa kuudhalilisha Uislamu

Attachments

  • Screenshot_20240610-093227_Gallery.jpg
    Screenshot_20240610-093227_Gallery.jpg
    542.9 KB · Views: 3
Ebana wanajamvi inakuwaje

Msomi, mtangazaji, mchekeshaji, mhamasishaji (influencer) na mchekeshaji maarufu DC Mwijaku mtu wa maana sana halaaa amejiwa juu na baadhi ya waislam kwenye ukurasa wake wa Facebook baada ya kuposti video akiwa likizo na familia yake dubai.

Waumini hao wamekasirika na kufedheheshwa na kudai Mwijaku anaudhalilisha Uislamu kwa mavazi ya aibu waliyovaa mke wake na binti yake ambao wako likizo wakila bata Dubai.

Wahafidhina hao ambao walitokwa na povu kali na kuposti comment zao kwa jazba na kudai haiwezekani majuzi tu Mwijaku alienda hijrah Mekkah kwenye ibada takatifu na kuruhusu kuudhalilisha uislamu.

View attachment 3012829
View attachment 3012831View attachment 3012832

View attachment 3012882View attachment 3012883
Mbona mnamwonea wivu Mwijaku, wenye dini yao wanachekelea kule nyuma.
 
Wafia dini wengi ni maskini . Wacheni watu wale maisha. Maisha ya mtu ni yeye mwnyw na MUNGU wake ko mbona povu linawatoka😂 acheni kujikuta washika dini kumbe mmevaa ngozi ya kondoo nje afu ndani chui eti amevaa uchi akat tunaona wamevaa nguo kabisa au hamna macho🤔 . Kuna mwengne anakomenti et mwijaki mnafik sijui katoka kuhiji afu wako Dubai uchi , uyouyo anaemsema mwijaku naye ni lizinifu balaa Tena linalawiti kizani sa huo nao si unafiki pia tena mbaya. Kama hakuna binadamu aliye mkamilifu basi hakuna kiumbe kinachoweza kumuhukumu mwenzake mana wote n wadhaifu tu mbele za muumba.leo unamponda harmonize sijui kasema hv et kakufuru na ww uko una lawiti katoto kadogo😂 . Kila mwanadamu ana madhaifu yake Wacha watu waishi wanavotaka ili mradi tu havunji Sheria za nchi Wala kutendea uovu watu wengine✍️
 
kwan
Ebana wanajamvi inakuwaje

Msomi, mtangazaji, mchekeshaji, mhamasishaji (influencer) na mchekeshaji maarufu DC Mwijaku mtu wa maana sana halaaa amejiwa juu na baadhi ya waislam kwenye ukurasa wake wa Facebook baada ya kuposti video akiwa likizo na familia yake dubai.

Waumini hao wamekasirika na kufedheheshwa na kudai Mwijaku anaudhalilisha Uislamu kwa mavazi ya aibu waliyovaa mke wake na binti yake ambao wako likizo wakila bata Dubai.

Wahafidhina hao ambao walitokwa na povu kali na kuposti comment zao kwa jazba na kudai haiwezekani majuzi tu Mwijaku alienda hijrah Mekkah kwenye ibada takatifu na kuruhusu kuudhalilisha uislamu.

View attachment 3012829
View attachment 3012831View attachment 3012832

View attachment 3012882View attachment 3012883
Kwan alivobadili dini si mlishangilia
 
Kabisa. Umenifundisha jambo kubwa kupitia hii comment. Siku hizi mtu akianza kuniuliza habari ya mtu mwingine au ndugu ananiuliza habari za ndugu mwingine au mke wangu.

Mimi huwajibu "tuongee yanayotuhusu mimi na wewe"

Kwanini nimefika hapo. Mtu anakuuliza kitu labda habari ya kaka yako mlevi au mraibu wa kamari, unatoa maelezo vizuri tu! Ye anaenda tena kutoa new version ya kile ulichosema! Ugomvi tayari.
Epuka sana kujadili watu ni mbaya mno uyo anaekuletea ya wengine hata yako anayasambaza kwa wengine na ndio chanzo cha uchonganishi.
 
Ebana wanajamvi inakuwaje

Msomi, mtangazaji, mchekeshaji, mhamasishaji (influencer) na mchekeshaji maarufu DC Mwijaku mtu wa maana sana halaaa amejiwa juu na baadhi ya waislam kwenye ukurasa wake wa Facebook baada ya kuposti video akiwa likizo na familia yake dubai.

Waumini hao wamekasirika na kufedheheshwa na kudai Mwijaku anaudhalilisha Uislamu kwa mavazi ya aibu waliyovaa mke wake na binti yake ambao wako likizo wakila bata Dubai.

Wahafidhina hao ambao walitokwa na povu kali na kuposti comment zao kwa jazba na kudai haiwezekani majuzi tu Mwijaku alienda hijrah Mekkah kwenye ibada takatifu na kuruhusu kuudhalilisha uislamu.

View attachment 3012829
View attachment 3012831View attachment 3012832

View attachment 3012882View attachment 3012883
Baada ya hii mada ngoja pia tupate povu kutoka Vatican ya Bonyokwa
 
Wazee wa makobazi hapa full mapovu, ila kwenye ile ya mzee wa yemen kuoa katoto ka miaka 8, kukabaka na kukalawiti hadi kifo wamekaa kimya. Kobazi oyeeee.
 
Sasa hivi ni ruksa.
 
Attachments

  • Screenshot_20240610-093227_Gallery.jpg
    Screenshot_20240610-093227_Gallery.jpg
    542.9 KB · Views: 2
Kabisa. Umenifundisha jambo kubwa kupitia hii comment. Siku hizi mtu akianza kuniuliza habari ya mtu mwingine au ndugu ananiuliza habari za ndugu mwingine au mke wangu.

Mimi huwajibu "tuongee yanayotuhusu mimi na wewe"

Kwanini nimefika hapo. Mtu anakuuliza kitu labda habari ya kaka yako mlevi au mraibu wa kamari, unatoa maelezo vizuri tu! Ye anaenda tena kutoa new version ya kile ulichosema! Ugomvi tayari.
Tuongee yanayotuhusu 👏🏾👏🏾👏🏾
 
Back
Top Bottom