Baadhi ya waislamu wamjia juu Mwijaku kwa kuudhalilisha Uislamu

Ebana wanajamvi inakuwaje

Msomi, mtangazaji, mchekeshaji, mhamasishaji (influencer) na mchekeshaji maarufu DC Mwijaku mtu wa maana sana halaaa amejiwa juu na baadhi ya waislam kwenye ukurasa wake wa Facebook baada ya kuposti video akiwa likizo na familia yake dubai.

Waumini hao wamekasirika na kufedheheshwa na kudai Mwijaku anaudhalilisha Uislamu kwa mavazi ya aibu waliyovaa mke wake na binti yake ambao wako likizo wakila bata Dubai.

Wahafidhina hao ambao walitokwa na povu kali na kuposti comment zao kwa jazba na kudai haiwezekani majuzi tu Mwijaku alienda hijrah Mekkah kwenye ibada takatifu na kuruhusu kuudhalilisha uislamu.

View attachment 3012829
View attachment 3012831View attachment 3012832

View attachment 3012882View attachment 3012883
Hao wanafiki ni waislam kuliko waarab ambako mwijaku yupo?
 
Kafanye homework yako vizuri, hakwenda "hijrah" Makkah.

Umechanganya channels.
 
Itakuwwa kawakuta mapunguwani wenzake huko wanavaa hivyo na yeye akaiga.

Hayo ni mavazi ya kumvalia mumewe ndani tu na siyo ya kujianika nayo mitaani.

Ni upunguwani.
 
Ebana wanajamvi inakuwaje

Msomi, mtangazaji, mchekeshaji, mhamasishaji (influencer) na mchekeshaji maarufu DC Mwijaku mtu wa maana sana halaaa amejiwa juu na baadhi ya waislam kwenye ukurasa wake wa Facebook baada ya kuposti video akiwa likizo na familia yake dubai.

Waumini hao wamekasirika na kufedheheshwa na kudai Mwijaku anaudhalilisha Uislamu kwa mavazi ya aibu waliyovaa mke wake na binti yake ambao wako likizo wakila bata Dubai.

Wahafidhina hao ambao walitokwa na povu kali na kuposti comment zao kwa jazba na kudai haiwezekani majuzi tu Mwijaku alienda hijrah Mekkah kwenye ibada takatifu na kuruhusu kuudhalilisha uislamu.

View attachment 3012829
View attachment 3012831View attachment 3012832

View attachment 3012882View attachment 3012883
Proud to be
 
Acha tu mwijaku aenjoy na dada yangu. Wanasemaga wanawake wa kichaga hawadumu kwenye ndoa. Huyu mke wa mwijaku wametoka naye mbali tangu jamaa hana kitu na sasa hivi analala juu ya ghorofa. Na kwenye video mwijaku kawaahidi haters baada ya dubai ni Marekani. Mungu aibariki hii familia ya Mwijaku.

Accumen Mo
Wewe vipi ushawahi kutoka hapo unapobeba box? Au makaratasi hayajatimia? Mungu akubariki
 
Mkuu mgerasi RRONDO mda siyo mrefu napata passport nyekundu. Ningepata zamani ile niliaribu lakini mambo sawa.
 
Back
Top Bottom