Baadhi ya waislamu wamjia juu Mwijaku kwa kuudhalilisha Uislamu

Mbona mnamwonea wivu Mwijaku, wenye dini yao wanachekelea kule nyuma.
 
Wafia dini wengi ni maskini . Wacheni watu wale maisha. Maisha ya mtu ni yeye mwnyw na MUNGU wake ko mbona povu linawatokaπŸ˜‚ acheni kujikuta washika dini kumbe mmevaa ngozi ya kondoo nje afu ndani chui eti amevaa uchi akat tunaona wamevaa nguo kabisa au hamna machoπŸ€” . Kuna mwengne anakomenti et mwijaki mnafik sijui katoka kuhiji afu wako Dubai uchi , uyouyo anaemsema mwijaku naye ni lizinifu balaa Tena linalawiti kizani sa huo nao si unafiki pia tena mbaya. Kama hakuna binadamu aliye mkamilifu basi hakuna kiumbe kinachoweza kumuhukumu mwenzake mana wote n wadhaifu tu mbele za muumba.leo unamponda harmonize sijui kasema hv et kakufuru na ww uko una lawiti katoto kadogoπŸ˜‚ . Kila mwanadamu ana madhaifu yake Wacha watu waishi wanavotaka ili mradi tu havunji Sheria za nchi Wala kutendea uovu watu wengine✍️
 
kwan
Kwan alivobadili dini si mlishangilia
 
Epuka sana kujadili watu ni mbaya mno uyo anaekuletea ya wengine hata yako anayasambaza kwa wengine na ndio chanzo cha uchonganishi.
 
Baada ya hii mada ngoja pia tupate povu kutoka Vatican ya Bonyokwa
 
Wazee wa makobazi hapa full mapovu, ila kwenye ile ya mzee wa yemen kuoa katoto ka miaka 8, kukabaka na kukalawiti hadi kifo wamekaa kimya. Kobazi oyeeee.
 
Wazee wa makobazi hapa full mapovu, ila kwenye ile ya mzee wa yemen kuoa katoto ka miaka 8, kukabaka na kukalawiti hadi kifo wamekaa kimya. Kobazi oyeeee.
Sasa hivi ni ruksa.
 

Attachments

  • Screenshot_20240610-093227_Gallery.jpg
    542.9 KB · Views: 2
Tuongee yanayotuhusu πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…