Pre GE2025 Baadhi ya Wajumbe Mkutano Mkuu CHADEMA wamkataa Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chawa kazini,umelipwa lakin kabla ya kuja kuandika huu ujingaa
 
Ni masikitiko mkuu...daah huwezi amini makamanda wengi wamejitoa ufahamu na kuamua kujilipua...
Kuna mambo nadhani yanasukumwa na nguvu fulana nyuma yake na si kwa utashi na akili binafsi
 
Lisu hafai kuwa mwenyekiti wa chama Chochote Cha siasa
 
Unaumia ukiwa pande zipi bob?
Paka muite maji mma!
 
Chawa wa mbowe mtakufa kwa pressure hakuna mjumbe mwenye Akili timamu atamkataa Lisu wakati lisu anaenda kuweka mambo sawa, katibu mkuu atakuwa na mamlaka na fedha kutakuwa na mhasibu mkuu wa chama idara ya fedha itaendeshwa kwa uwazi chini ya maamuzi ya matumizi kwa idhini ya vikao halali, tofauti na mbowe ambaye idara ya pesa anayo mwenyewe yeye ndiyo mhasibu meneja mkurugenzi, pesa zote anaziiba na kujimilikisha kwa njia haramu, Wajumbe wanakula pesa za mbowe alizoiba chadema wanampa moyo tu, lakini moyoni hakuna mjumbe anamtaka Mbowe mwizi Dikteta na mpenda masimango
 
Umetumia mda mrefu kuandaa ,then unapost MATAPISHI kama haya??

Very cheap propaganda 🤣🤣🤣😃😃

hata mtoto wa darasa la tatu Kiswahili medium anaelewa kama huu ni USHUUZI, Naam USHUUZI umemkuta MJAMBAJI ambaye ANAJAMBA HOVYO 🤣🤣🤣😃😃😅😅🚴🚴🚴

Mkuu CHUKUA MAUA YAKO kwa MATAPISHI na USHUUZI uliopost!!😅😅
 
Ni masikitiko mkuu...daah huwezi amini makamanda wengi wamejitoa ufahamu na kuamua kujilipua...
Wajumbe wanakula pesa kwa mbowe lakini kura ni kwa Lisu ingawa Mbowe ameunda kamati ya Roho mbaya ambayo kazi yake ni kumdhoofisha Lisu na kuiba kura uchakachuaji siku ya uchaguzi
 
Huyu jamaa anadhani kila mtu hamnazo
 
Tulieni subirini matokeo ndio mje na upupu huu
 
Mbowe anatapatapa sasa chawa wake wanatafuna pesa kama mchwa sasa ameanza kuchanganyikiwa
 
Akaunti ya Molemo ni Moja kati ya Akaunti za Mtu aliye Makao Makuu CHADEMA mwenye kumtetea Mbowe tuu. Rejea Sakata la Zitto 2013, kuja Kwa Lowassa 2015 kote huko ndipo Akaunti hii hutumika. Matukio haya yakiisha Akaunti inasizi na Wahusika wanaendelea na maisha Kwa Akaunti zingine.

Kiufupi mnadhani uwongo na Propaganda za 2013 dhidi ya Zitto Bado zitaendelea kutumika Hadi leo. Itoshe kusema kama hamjaweza kukaa chini na kuainisha Nini Mahitaji ya Watanzania Kwa sasa basi nyie ni vichwa maji.

Watanzania wanaopenda mabadiliko wanataka namna Bora ya kuishinda CCM ila sio Kwa hizo njia zenu zilizofeli.
 
Mapumbavu maccm humu mmelekeza chama chenu na mama abdul mko busy kumtetea mbowe na kumsema simba lissu
 
Yericko Nyerere...Lissu ni msaliti!
Retired...Lissu ni mropokaji!
Molemo...Lissu ni mkurupukaji!
sinza pazuri...Lissu ni muongo!
Quinine...Lissu ni mvurugaji!

Ndugu zangu, really? Mbona hizi ndizo sifa zile zile alizopewa Mh. Tundu Antiphas Lissu kabla ya kumiminiwa risasi na wabaya wake mwaka 2017?

Hebu tujikumbushe kidogo kauli ya mmoja wenu Lissu alipogombea urais mwaka 2017?

Yericko Nyerere, kwa nini, kwa mfano, nisiziamini tetesi kwamba hapa pesa, sabuni ya roho, iko kazini?
 
Tulieni subirini matokeo ndio mje na upupu huu
Kamati ya Roho mbaya ya mbowe chini ya Mdee, Boniface, wenje sugu wanahaha kumdhoofisha Lisu pia kumwibia kura siku ya uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…