Pre GE2025 Baadhi ya Wajumbe Mkutano Mkuu CHADEMA wamkataa Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huu uchunguzi wako una utata mkubwa sana ndani yake,,una lengo lakuwagombanisha ionekane hawaelewani,(divide and rule),,hizo tuhuma zote ni zakutunga tu,inaelekea chombo chako kinatumika kimkakati.
 
Kiongozi nzuri ni yule anayepewa hela za rushwa kwa maslahi ya wengine, halafu kwa kiongozi nzuri ukiona rushwa ukae kimya? Ujinga mkubwa labda akawe mwenyekiti wa nyumba yako na familia yako
 
Tandaza na sifa za Mbowe tuzithaminishe, au yeye ni mweupe kama malaika?
 
Kiongozi nzuri ni yule anayepewa hela za rushwa kwa maslahi ya wengine, halafu kwa kiongozi nzuri ukiona rushwa ukae kimya? Ujinga mkubwa labda akawe mwenyekiti wa nyumba yako na familia yako

Una ushahidi wa rushwa?
 
Hawa wajinga wamezoea kulindana, hata kama kuna uovu umefanywa na viongozi wanataka mkae kimya kama CCM. Tofauti ya Lissu hakopeshi wala kulinda ujinga
 
Una ushahidi wa rushwa?
Upumbavu ndipo unapoanzia hapa kwa watetezi wa Mbowe, ushahidi wa kwanza wa rushwa ni wa mazingira kwa sababu haitolewi hadharani. Ghafla Mbowe ana hela nyingi kwenye harakati za uchaguzi wakati chama kilikuwa hakina hela?
 
Nenda mahakamani ufungue mashtaka ya kuwa Mbowe ni mla rushwa, acha upuuzi wako kama huna ushahidi, mazingara sio ushahidi, kumbe wewe kiazi kabisa
 
Nenda mahakamani ufungue mashtaka ya kuwa Mbowe ni mla rushwa, acha upuuzi wako kama huna ushahidi, mazingara sio ushahidi, kumbe wewe kiazi kabisa
Kiazi ni wewe mpumbavu unayemtetea Sultani Mbowe! Mahakama yetu ni wananchi na wanachama ndio maana hawamtaki Mbowe.

Lissu ndio habari ya mujini, tulia usije ukatoa mimba yako
 
Kifupi ameyatimba. Hii counter attack aliyofanya Lissu imemtoa Sultan Mbowe kwenye mchezo hadi anaanza masimango mara nimemjenga Lissu mara nilimuazima gari afanyie kampeni yaani kama mwanamke wa kizaramo kumbe ni baba wa kimachame,kavurugwa mbaya.
Mbowe sasa ni mwimba Taarabu mipasho hana sera tena kwa babu masimango hana jipya
 
asali na mkate wa mama abduli vimeanza kufanya kazi kwa wajumbe,ila mwisho wa siku Lisu ataibuka kidedea
 
Attachments

  • IMG-20250108-WA0053.jpg
    151.6 KB · Views: 2
Upumbavu ndipo unapoanzia hapa kwa watetezi wa Mbowe, ushahidi wa kwanza wa rushwa ni wa mazingira kwa sababu haitolewi hadharani. Ghafla Mbowe ana hela nyingi kwenye harakati za uchaguzi wakati chama kilikuwa hakina hela?
Mbowe huiba pesa za chadema kisha kuzitakatisha kwa kujidai alikopesha chama sasa anarejesha pesa zake, hutengeneza madeni hewa ili kuharalisha wizi wake, mbowe ni mwizi balaa, pesa aliyoiba chadema ndiyo anazitumia kumdhoofisha Lisu
 
Nenda mahakamani ufungue mashtaka ya kuwa Mbowe ni mla rushwa, acha upuuzi wako kama huna ushahidi, mazingara sio ushahidi, kumbe wewe kiazi kabisa
Wewe chawa ni sehemu ya wizi wa mbowe na wewe ndiyo mnufaika wa pesa za wizi, uletewe ushahidi hapo ghetto kwa mbowe utakubali? Wewe ulishajitoa fahamu zote umekariri Mbowe ni mungu na malaika wako hata uletewe ushahidi Mbowe yupo gheto na Rushwa ya ngono utakataa
 
Hawa wajinga wamezoea kulindana, hata kama kuna uovu umefanywa na viongozi wanataka mkae kimya kama CCM. Tofauti ya Lissu hakopeshi wala kulinda ujinga
Mbowe alizoea chaguzi zote anapita bila kupingwa, safari hii kaona cha mtema kuni kaamua kuwa mwimba Taarabu na masimango, Mbowe kaishiwa sera kabakia kulalama hovyo na kugawa pesa kwa chawa wamtetee mitandaoni
 
Sultan Mbowe amechagua njia mbovu sana ya kumalizia mwendo
 
Chawa wala pesa za mbowe, chawa wanufaika wa wizi wa mbowe sasa wanamshukuru Lisu kwa kumtia pressure Mbowe hadi mbowe kuacha uchoyo ubinafsi na kuwagawia pesa wamtetee mitandaoni, Mbowe sasa ni buzi la chawa wanamchuna ile mbaya, wanamwombea lisu azidi kumchachafya ili waendeleee kula pesa za mbowe ingawa ni za wizi toka chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…