Baadhi ya Walokole kwanini wako hivi?

Baadhi ya Walokole kwanini wako hivi?

imekuaje

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2024
Posts
221
Reaction score
426
Habari.

Haya ni mambo baadhi niliyonifunza kupitia ulokole au kuokoka. Kiukweli miaka 3 iliyopita nilikuwa mkristo mzuri sana na muumini mzuri ninayefuata misingi ya kiimani ya kipentekoste au ulokole.

Mungu anisamehe maana now natimiza mwaka sijui mlango wa kanisa yalinisubu ni mengi ila nimekua ni mtu ninayemuomba Mungu ,nasoma biblia na niaduatilia mahubiri tu kwa Tv ila sio kwenda kanisani.

Nini kilibisibu mpaka nikawa hivi.

1.Baadhi ya waumini wanaitwa walokole ni watu wanaondekeza majungu,kusemana ,umbea na hili nimeliona hadi kwa viongozi wakubwa wa kanisa.

2.Walokole wengi ni watu wanaopenda Mapenzi kiukweli katika miaka ya mwanzo ya ulokole Nikiri nilimuona Mungu kabisa kupitia kusali na kushiriki ibada ila nilipoanza kujichanganya nikajikuta na date na wanakwaya ,mashemasi hadi wake za watu nafanya nao mapenzi na tukiwa kanisani tunakuwa kama waumini wa zuri hii iliniumiza sana.

3.Walokole wengi hawana hali ya kusaidiana nimepata majanga mengi nikiwa nasali niliishia kuombea ila tofauti na watu walokole wanaowaita wa dunia wamenipiga tafu sana hadi hapa nilipo.

4.Walokole ni wabinafsi sana ngumu sana kuwakuta kwa sherehe ,misiba kwa kigezo cha kusema watu wa Dunia ambao hawajaokoka.

5.Baadhi ya makanisa hayakufundisha katika kutafuta maisha zaidi ya kukutana utumike kwa Mungu Muda wote pasipo na kupata hata muda kidogo wa kujitafutia ridhiki.

Kiukweli siusemi ulokole kwa ubaya kuna faida nyingi nimezipata.
Ila nimejikuta nimeacha kabisa kwenda kusali ila nina imani nitarudi tena sijui ni lini.
 
Ulokole na uganga uliotukuka , hakuna kitu sitaki kusikia kama ulokole hasa huu wa kujiipeleka sijui kwa kina mwamposa.
Familia nyingi zinaangamia kwa ajili ya majungu ya ulokole.
Mlokole ndo mtu pekee anaweza simama na uovu ili amtetea mlokole mwenzake ambaye ni mwovu
 
Njoo kkkt huku hakuna majungu Wala uasherati halafu hakuna Yale mambo yakutenga watu sijui wewe unadhambi
Nilikuwa Kkkt nikatoka nikaenda kwa walokole.

Niligombanagana na viongozi wangu walipoona napost status za mwakasege.

Kuwauliza wanasema mwakasege ni MKKKT wakati mimi namuona yuko vizuri kuliko hata walokole wenyewe.
 
Ukweli ni kwamba watakao ingia Mbinguni ni watu wa kawaida tu wenye kujishusha na kuishi vizuri na watu kwa namna ya kawaida na wasiojiona watakatifu.
Habari.

Haya ni mambo baadhi niliyonifunza kupitia ulokole au kuokoka.
Kiukweli miaka 3 iliyopita nilikuwa mkristo mzuri sana na muumini mzuri ninayefuata misingi ya kiimani ya kipentekoste au ulokole.

Nenda kule chama la TAWILE

Kule mtu akikupga umbea unaamua wewe umroge au umwache.

Nilikuwa Kkkt nikatoka nikaenda kwa walokole.

Niligombanagana na viongozi wangu walipoona napost status za mwakasege.

Kuwauliza wanasema mwakasege ni MKKKT wakati mimi namuona yuko vizuri kuliko hata walokole wenyewe.
 
Shetani ameshakuweza wewe unahitaji toba Tu...
Kama imeiacha njia lazima uongee kama hivi
Uzuri nimekutana na walokole wenye lugha za ukakasi kama wewe na wasiohitaji Suluhu yoyote katika maisha.

Kwani niia unayosema nimeiacha unadhani nani kawekea kaka.

Hata kama wewe uko kwa hiyo njia leo hata mimi nitarudi kesho.
 
Habari.

Haya ni mambo baadhi niliyonifunza kupitia ulokole au kuokoka.
Kiukweli miaka 3 iliyopita nilikuwa mkristo mzuri sana na muumini mzuri ninayefuata misingi ya kiimani ya kipentekoste au ulokole.

Mungu anisamehe maana now natimiza mwaka sijui mlango wa kanisa yalinisubu ni mengi ila nimekua ni mtu ninayemuomba Mungu ,nasoma biblia na niaduatilia mahubiri tu kwa Tv ila sio kwenda kanisani.

Nini kilibisibu mpaka nikawa hivi.

1.Baadhi ya waumini wanaitwa walokole ni watu wanaondekeza majungu,kusemana ,umbea na hili nimeliona hadi kwa viongozi wakubwa wa kanisa.

2.Walokole wengi ni watu wanaopenda Mapenzi kiukweli katika miaka ya mwanzo ya ulokole Nikiri nilimuona Mungu kabisa kupitia kusali na kushiriki ibada ila nilipoanza kujichanganya nikajikuta na date na wanakwaya ,mashemasi hadi wake za watu nafanya nao mapenzi na tukiwa kanisani tunakuwa kama waumini wa zuri hii iliniumiza sana.

3.Walokole wengi hawana hali ya kusaidiana nimepata majanga mengi nikiwa nasali niliishia kuombea ila tofauti na watu walokole wanaowaita wa dunia wamenipiga tafu sana hadi hapa nilipo.

4.Walokole ni wabinafsi sana ngumu sana kuwakuta kwa sherehe ,misiba kwa kigezo cha kusema watu wa Dunia ambao hawajaokoka.

5.Baadhi ya makanisa hayakufundisha katika kutafuta maisha zaidi ya kukutana utumike kwa Mungu Muda wote pasipo na kupata hata muda kidogo wa kujitafutia ridhiki.

Kiukweli siusemi ulokole kwa ubaya kuna faida nyingi nimezipata.
Ila nimejikuta nimeacha kabisa kwenda kusali ila nina imani nitarudi tena sijui ni lini.
Ukweli mtupu
 
Ila walokole wanajua kubanduana wenyewe kwa wenyewe.

Mkeo akiwa mlokole andika kilio, ujue ni chakula ya wana wa kilokole. Kuanzia baba mchungaji mpaka waumini.

Ukisikia mkesha wa maombi ujue ni mwendo wa kusimamia ukucha.
 
Hapa Mtaani kwangu..nyumba zote ni walokole nakwambia walokole kweli na hasa...mimi mke alikua mlokole tukashindwana kila mtu n lwake ..sasa mm naitwa mlevi..Malaya..mtu wa Dunia

Sasa mimi ni mtu wa night na nachomoka mchana tu nikiwa very ok..so najua hizi story zote wanazoongea nikipita nasimama nawasalimia nasepa...wananiona tena mchana! Kesho yake..sina hasira wala maneno mingi..!

Sasa katika hawa wanaume kuna mmoja anapiga mtungi kwa siri ila mlokole..mke anajua ila anakunywa kwa siri sasa kwenye chocho zetu huko tukakutana siku moja!

Katika story ndio ananiambia ule mtaa wanakusema lkn shida pale ni wivu...
1.Kibanda changu ndio kizuri kuliko wao
2.watoto wanasoma shule nzuri kuliko wao
3.siwajibu kitu
4.lifestyle yangu inawaumiza kabisa

Walokole wana roho mbaya sana, wana umalaya mkali sana plus ni wachawi niamini.
Ila wana wivu wa maendeleo balaa..halafu ni wanafki mno...hawana furaha kabisa na hii kitu inawanyima raha...
 
Habari.

Haya ni mambo baadhi niliyonifunza kupitia ulokole au kuokoka.
Kiukweli miaka 3 iliyopita nilikuwa mkristo mzuri sana na muumini mzuri ninayefuata misingi ya kiimani ya kipentekoste au ulokole.

Mungu anisamehe maana now natimiza mwaka sijui mlango wa kanisa yalinisubu ni mengi ila nimekua ni mtu ninayemuomba Mungu ,nasoma biblia na niaduatilia mahubiri tu kwa Tv ila sio kwenda kanisani.

Nini kilibisibu mpaka nikawa hivi.

1.Baadhi ya waumini wanaitwa walokole ni watu wanaondekeza majungu,kusemana ,umbea na hili nimeliona hadi kwa viongozi wakubwa wa kanisa.

2.Walokole wengi ni watu wanaopenda Mapenzi kiukweli katika miaka ya mwanzo ya ulokole Nikiri nilimuona Mungu kabisa kupitia kusali na kushiriki ibada ila nilipoanza kujichanganya nikajikuta na date na wanakwaya ,mashemasi hadi wake za watu nafanya nao mapenzi na tukiwa kanisani tunakuwa kama waumini wa zuri hii iliniumiza sana.

3.Walokole wengi hawana hali ya kusaidiana nimepata majanga mengi nikiwa nasali niliishia kuombea ila tofauti na watu walokole wanaowaita wa dunia wamenipiga tafu sana hadi hapa nilipo.

4.Walokole ni wabinafsi sana ngumu sana kuwakuta kwa sherehe ,misiba kwa kigezo cha kusema watu wa Dunia ambao hawajaokoka.

5.Baadhi ya makanisa hayakufundisha katika kutafuta maisha zaidi ya kukutana utumike kwa Mungu Muda wote pasipo na kupata hata muda kidogo wa kujitafutia ridhiki.

Kiukweli siusemi ulokole kwa ubaya kuna faida nyingi nimezipata.
Ila nimejikuta nimeacha kabisa kwenda kusali ila nina imani nitarudi tena sijui ni lini.
Kumbe huko makanisani ndio mnakula mbususu za wake wa watuuu....kha nyie ni motoni moja kwa moja🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom