CHADEMA inapukutika hasa hiyo Agenda ya No reform no election ni kelele za Lisu na Heche chini inaonyesha hawaitaki
Maelfu ya wanachama wa Katavi wahama CHADEMA waisomea CHADEMA dua ya kiislamu ya Maiti
CHADEMA Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
View: https://youtu.be/OYq1tbdWpTM?si=Pg_J8uR6kq2k2fLO
CHADEMA Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'unDua la kuku halimpati mwewe.
Wakati wa uongozi wa Mbowe hakukuwahi kutokea maelfu ya wanachama kuhama chama kama chini ya Uongozi wa LisuMbowe was evil freak
Naona mnajitekenya wenyewe na kucheka.CHADEMA Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
Wamerubuniwa na nani? Weka ushahidiKuomba dua ukiwa umerubuniwa kwa rushwa ni usenge kama usenge mwingine
Eti maelefuWakati wa uongozi wa Mbowe hakukuwahi kutokea maelfu ya wanachama kuhama chama kama chini ya Uongozi wa Lisu
Maelfu ya wanachama wa Katavi wahama CHADEMA waisomea CHADEMA dua ya kiislamu ya Maiti
CHADEMA Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
View: https://youtu.be/OYq1tbdWpTM?si=Pg_J8uR6kq2k2fLO
NaniMjinga
Wanao kubali kuhongwa pesa zao wenyewe ili wandelee kumsaidia abdul kuendelea kupiga dili kwa pesa za watangayika wenyeweNani
Weka ushahidiWanao kubali kuhongwa pesa zao wenyewe ili wandelee kumsaidia abdul kuendelea kupiga dili kwa pesa za watangayika wenyewe
Kwani wanapo peana vibahasha huwa wanaita media? Michezo hiyo ilisha chezwa zama za kina zito na kina shoza hakuna jipya , ni mbinu zile zile za kale ndio maana akili za CCM zimelala CHADEMA haifi kijinga kama mnavyo dhani ,nadhani ujumbe mnaupata jinsi wananchi wanavyo jitokeza kuwasikiliza CHADEMA , hakuna basi wala lori lilnalo beba wanachama , CCM inajisumbua kupingana na ukweli.Wamerubuniwa na nani? Weka ushahidi
Maelfu tena, inamaana cdm inawachama mamilioni?Wakati wa uongozi wa Mbowe hakukuwahi kutokea maelfu ya wanachama kuhama chama kama chini ya Uongozi wa Lisu
Kwani huwa mnaitwa kuchukua ushahid,hebu na wewe tupe ushahidi unavyo iibia serikali.Weka ushahidi