PreGE2025 Baadhi ya wanachama Katavi wahama CHADEMA, waisomea dua ya maiti!

PreGE2025 Baadhi ya wanachama Katavi wahama CHADEMA, waisomea dua ya maiti!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Maelfu ya wanachama wa Katavi wahama CHADEMA waisomea CHADEMA dua ya kiislamu ya Maiti

CHADEMA Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un

View attachment 3335708
Hebu wacha uongo, kila siku unatangaza humu kuwa Chadema imekufa sasa hayo maelfu ya wanachama kutoka Katavi yametokea wapi tena na tulishakubaliana kuwa Chadema imekufa?
 
Maelfu ya wanachama wa Katavi wahama CHADEMA waisomea CHADEMA dua ya kiislamu ya Maiti

CHADEMA Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un

View attachment 3335708
Uchaguzi Mkuu ni kila baada ya miaka mitano, baada ya uchaguzi miezi michache ijayo hawa wote watakuwa wanafanya nini?

Kwasababu ni ukweli usiopingika nje ya Chadema hakuna chama chenye kusukuma ajenda zinazowagusa wananchi, viko kimya kabisa.
 
Inabidi wanachama na viongozi wa Yanga watangaze kujitoa Yanga, kwanini timu igome kucheza mechi na Simba.
 
Na kwa nini wametumia dua ya kiislam sio dini ingine? Is it coincidence? Ina maana nchi hii ni waislam tu walioridhika na utawala wa chama dume? Au yaleyale tu tuliyoyazoea na sisiemu yetu?

Kwa sababu kwenye Ukristo hakuna dua wala sala za namna hiyo...
 
Kwa sababu kwenye Ukristo hakuna dua wala sala za namna hiyo...

Sasa huu si ni ujinga tu na kujustify level yao ya ufahamu! Tulia aliiweka kwenye jeneza kabisa na kufanya kila dua za dini yake lakini leo hii inamtesa mama bosi wake anakesha na kulala na viatu, kijana kifua kipana anaongoza nchi kwa sasa na chadema inakata mbuga, lini dua zilifanya kazi zaidi ya kuota ndoto na wishful thinking?
 
Mungu fundi.
Ccm mbona mnahangaika sana.
Mjue mnahonga hela za wallpaper kodi.
Hamjifunzi tu.
Huyo bibi aache kudanganywa na machawa.
Wanamwingiza chaka.
Vuta picha,kipindi cha mwenda zake.

Wajinga waliunga juhudi,mpaka juhudi mwenyewe akaunga juhudi.
Leo hii yako wapi.
Ilitoka kauli kuwa,anataka kufuta upinzani,matokeo yake yeye ndo akafutika.

Kweli,nyie ni maiti zinazotembeq.
Emu,muwe mnatag na clips za kipindi cha mwenda zake,ili mjue mmekuwa wehu au maiti.

Chadema ni Pasific ocean
 
Wapumbavu wote watahama chadema mwaka huu, cha ajabu wanahama wachache, nyomi wanaingia
 
Wakati wa uongozi wa Mbowe hakukuwahi kutokea maelfu ya wanachama kuhama chama kama chini ya Uongozi wa Lisu
Hao maelfu wako kwenye maandishi wewe umewaona? Hapo kwenye hiyo clip wapo?
 
Sikuwahi kujui dini ya kiislam inaweza kufanyiwa shere na wahuni? Wako wapi Waislam wenye akili wakemee haya matapeli?
Akina Mohamed Abubacar wako wako busy kumkosoa CHADEMA wampe sheikh ponda ukatibu mkuu badala ya kutetea dini yake inavyodhalilishwa na wajinga
 
Back
Top Bottom