SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Maelfu ya wanachama wa Katavi wahama CHADEMA waisomea CHADEMA dua ya kiislamu ya Maiti
CHADEMA Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
View: https://youtu.be/OYq1tbdWpTM?si=Pg_J8uR6kq2k2fLO
Watu hata ishirini hawafiki ndiyo maelfu? Uwongo huu unawasaidia nini ? Mbona husemi maelfu ya wanaounga mkono No Reforms No Election tena na kuichangia hela kabisa kama hawa hapa.