PreGE2025 Baadhi ya wanachama Katavi wahama CHADEMA, waisomea dua ya maiti!

PreGE2025 Baadhi ya wanachama Katavi wahama CHADEMA, waisomea dua ya maiti!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mungu awabariki Lissu na Heche, miaka mingi sana watanzania tulitolewa kuwa Mbuzi wa Kafara.
 
Na kwa nini wametumia dua ya kiislam sio dini ingine? Is it coincidence? Ina maana nchi hii ni waislam tu walioridhika na utawala wa chama dume? Au yaleyale tu tuliyoyazoea na sisiemu yetu?
Hicho ni kiarabu hakuna lugha inaitwa kiislamu. Wangeweza kutumia kiingereza mnayoiabudu
 
Sikuwahi kujui dini ya kiislam inaweza kufanyiwa shere na wahuni? Wako wapi Waislam wenye akili wakemee haya matapeli?
Shida zenu za kwenye Chama msatake kuwahusisha Waislamu au kufitinisha Umma kwa misingi ya dini.
Maneno hayo " Innaa Lil lahi Wainnaa Ilayhi Rajiun" mtu anapotatwa na msiba. Na msiba sio kifo tu hata ukiharibikisa na jambo lako nao ni msiba na maneno hayo hutamkwa kwa mintarafu ya kuridhika na jukumu au jambo lililokufika ni kadari (kwa maana nyepesi huna kinyongo na Mungu kwa Hilo ililotokea au kukufika).
 
Back
Top Bottom