SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Watu hata ishirini hawafiki ndiyo maelfu? Uwongo huu unawasaidia nini ? Mbona husemi maelfu ya wanaounga mkono No Reforms No Election tena na kuichangia hela kabisa kama hawa hapa.Maelfu ya wanachama wa Katavi wahama CHADEMA waisomea CHADEMA dua ya kiislamu ya Maiti
CHADEMA Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
View: https://youtu.be/OYq1tbdWpTM?si=Pg_J8uR6kq2k2fLO
Sikuwahi kujui dini ya kiislam inaweza kufanyiwa shere na wahuni? Wako wapi Waislam wenye akili wakemee haya matapeli?Maelfu ya wanachama wa Katavi wahama CHADEMA waisomea CHADEMA dua ya kiislamu ya Maiti
CHADEMA Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
View: https://youtu.be/OYq1tbdWpTM?si=Pg_J8uR6kq2k2fLO
Ingekuwa maneno hayo yametamkwa kwa CCM ungewasikia wale mashehe ubwabwa wa Bakwata wakilaani.Sikuwahi kujui dini ya kiislam inaweza kufanyiwa shere na wahuni? Wako wapi Waislam wenye akili wakemee haya matapeli?
Iko damu ya Yesu 😂hayo mambo yenu ya giza bakini nayo ccmCHADEMA Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
Wakati wa uongozi wa Mbowe hakukuwahi kutokea maelfu ya wanachama kuhama chama kama chini ya Uongozi wa Lisu
Bye bye
Bye byeKwani huwa mnaitwa kuchukua ushahid,hebu na wewe tupe ushahidi unavyo iibia serikali.
Kila wakimaliza mikutano wanapotoka watu wanahama CHADEMANilichowapendea viongozi wa CHADEMA wanaendelea na shughuli za chama. Mikutano inaendelea.
Wanaohama ni viongozi sio wanachama..kama kutaanza kiwa na muitikio kwenye mikutamo hasi happ sawaKila wakimaliza mikutano wanapitoka watu wanahama CHADEMA
No kama hiyo mikutano ina nuksi
Unajitekenya kinyeoWakati wa uongozi wa Mbowe hakukuwahi kutokea maelfu ya wanachama kuhama chama kama chini ya Uongozi wa Lisu
Watapukutika moja baada ya mwingine kabla ya chadema, maana Kila Aliyeijaribu kuiua chadema alikufaMaelfu ya wanachama wa Katavi wahama CHADEMA waisomea CHADEMA dua ya kiislamu ya Maiti
CHADEMA Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
View attachment 3335708