CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Hebu wacha uongo, kila siku unatangaza humu kuwa Chadema imekufa sasa hayo maelfu ya wanachama kutoka Katavi yametokea wapi tena na tulishakubaliana kuwa Chadema imekufa?Maelfu ya wanachama wa Katavi wahama CHADEMA waisomea CHADEMA dua ya kiislamu ya Maiti
CHADEMA Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
View attachment 3335708
Uchaguzi Mkuu ni kila baada ya miaka mitano, baada ya uchaguzi miezi michache ijayo hawa wote watakuwa wanafanya nini?Maelfu ya wanachama wa Katavi wahama CHADEMA waisomea CHADEMA dua ya kiislamu ya Maiti
CHADEMA Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
View attachment 3335708
Hata hawaelewi huyo mdudu gani anaitwa hivyo.CHADEMA inapukutika hasa hiyo Agenda ya No reform no election ni kelele za Lisu na Heche chini inaonyesha hawaitaki
Because Muslims is bogasiiiiNa kwa nini wametumia dua ya kiislam sio dini ingine? Is it coincidence? Ina maana nchi hii ni waislam tu walioridhika na utawala wa chama dume? Au yaleyale tu tuliyoyazoea na sisiemu yetu?
Hawa ndio maelfu?Maelfu ya wanachama wa Katavi wahama CHADEMA waisomea CHADEMA dua ya kiislamu ya Maiti
CHADEMA Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
View attachment 3335708
Eti maelfu, kweli mmevurugwa.Wakati wa uongozi wa Mbowe hakukuwahi kutokea maelfu ya wanachama kuhama chama kama chini ya Uongozi wa Lisu
Na kwa nini wametumia dua ya kiislam sio dini ingine? Is it coincidence? Ina maana nchi hii ni waislam tu walioridhika na utawala wa chama dume? Au yaleyale tu tuliyoyazoea na sisiemu yetu?
Hujamsikia kiongozi akisema kuwa wako maelfu nyuma yao kuwa hao ni wawakilishi tEti maelfu, kweli mmevurugwa.
Lisu atawaua kwa hofu mwaka huu.
Hahahaaa mnajua kujilisha upepo CHADEMA ipo sanaKila wakimaliza mikutano wanapotoka watu wanahama CHADEMA
No kama hiyo mikutano ina nuksi
Kwa sababu kwenye Ukristo hakuna dua wala sala za namna hiyo...
shinyanga huko pia viongozi wamehama .Nyie zibeni tu masikioHahahaaa mnajua kujilisha upepo CHADEMA ipo sana
Hao maelfu wako kwenye maandishi wewe umewaona? Hapo kwenye hiyo clip wapo?Wakati wa uongozi wa Mbowe hakukuwahi kutokea maelfu ya wanachama kuhama chama kama chini ya Uongozi wa Lisu
Akina Mohamed Abubacar wako wako busy kumkosoa CHADEMA wampe sheikh ponda ukatibu mkuu badala ya kutetea dini yake inavyodhalilishwa na wajingaSikuwahi kujui dini ya kiislam inaweza kufanyiwa shere na wahuni? Wako wapi Waislam wenye akili wakemee haya matapeli?
Endeleeni kujifarijiWapumbavu wote watahama chadema mwaka huu, cha ajabu wanahama wachache, nyomi wanaingia