Baadhi ya Wanajeshi wa JWTZ wana tatizo la nidhamu?

Ni vita pekee huwaleta wanajeshi na raia wa kawaida pamoja.


Sio wakati huu ambapo raia anaamini mwanajeshi hawezi kulia mpaka kugalagala chini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo njaa na ugumu wa maisha Kaka. Vijana wengi wanajiunga na jeshi kwa malengo mawili TU
( 1) kujikomboa na njaa, Ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira unapelekea vijana wa kitanzania kujiunga na jeshi wakitegemea watapata chakula.

(2) Kuogopeka mtaani, Vijana wengine wanajiunga na jeshi ili waogopeke mtaani ndio mana unakuta wengi wao pale JKT wanapamba kuingia JWTZ na sio jeshi lingine. Lengo ni kuvaa yale manguo yao waje mtaani wavimbe na kuwatiasha watu.

Jamani vijana wenzangu mliopo uko itabidi mtambue kuwa Vizazi vinabadilika uku mtaani kuna vijana ni mashujaa lakini hawajapitia jeshi ivo kama nyinyi mtajiona ni mashujaa eti sababu mmepitia jeshi TUTAONA MABAYA ZAIDI YA ILI.

Heshima ni jambo la muhimu uwezi mpiga mtu anaejitambua alafu akutizame tu wakati uwezo wa kukujibu anao eti kisa wewe mwanajeshi 😁😁 zitapigwa.
 
Mkuu ila unaongea ukweli
 
Mkuu ila unaongea ukweli
Tatizo hawajui kuwa hakuna sababu wala haki ya kumpiga Mtu ata awe amefanya kosa gani. Jeshi kazi yake ni kulinda Raia sio kupiga au kuwanyanyasa au kuwatiasha Raia. Jeshi lolote lenye nguvu ni jeshi lenye kuungwa mkono na Raia. Ata uwe na mabomu ya nyukilia kama Raia awakuungi mkono utapigika na mabomu yako.
 
Fact mkuu
 
Sasa nyie mnawaua alafu mnataka wawe na nidhamu, kwanza kwa nn mjenge karibu na makambi yao
 
Hhujaelewa alichosema,ww itakuwa ni mmoja wa wale mkivaa hizo sare mnajiona mmemaliza.
 
Umeelileza vzr japo sina uhakika kama watakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…