Baadhi ya wanaume hamko serious, weekend outing na mpenzi wako unaishia kumnunulia maji ya Tsh. elfu 1 tu, kweli?

Baadhi ya wanaume hamko serious, weekend outing na mpenzi wako unaishia kumnunulia maji ya Tsh. elfu 1 tu, kweli?

Muachage UONGO na kujipaisha, Yaani mgahawa upo classic halafu wanauza maji 1000 kweli? sa hapo si kama dagaa dagaa pale KIBO

Tuachane na hayo jamaa ni mwenyikiti wetu UWABATA tawi la Sombetini

Hahhahaaa na wewe unaendaga dagaa dagaa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haa Haa
Chawa Umewafuatilia Hao Vizuri Mno
Soda Siyo Nzuri Siku Hizi Magonjwa Yasiyoambukiza Ni Mengi
 
Kwa hiyo umekaa masaa manne kuangalia jamaa atamuagizia nini Mpenzi wake...Aisee kukosa kazi Napo ni kazi Sana.
 
Hawa mabinti wa kitaa under 18 ukimpiga chips na mishikaki roho yake kwatu kabisa...unajilia mbususu mpka kesho .
 
Kama hawatumii hivyo ulivyo vitaja je?

Kama walisha kula walipotoka je?

Kama walipatana wanywe maji tu je?

Sasa skiza..wewe Itakua umeandika huu Uzi wako ili uonekane unaingiaga kwenye migahawa yenye hadhi
 
Kuna kaka mmojawaliniambia aliwahi kudate model, wale design ya kina Flaviana Matata na Naomi. Hakutaka kabisa kuharibu shape yake. Alikula mara moja tu kwa siku. Mchana kutwa alishindia maji.

Akimpa company mpenzi wake, lunch anaagiza chupa ya maji tu.
Hi inawezekana kumbe kula mlo mmoja kila baada ya masaa 24?
 
Hamna mgahawa wa hadhi unayoiongelea unao uza Maji ya BUKU (tena Hill Water)

Sina uhakika kama unaongelea watu wengine,naamini hii imekukuta wewe na si kama usemavyo

Umetolewa out umenunuliwa maji ya buku (jifunze kuwa na moyo wa shukurani) hujui baada ya kunywa

Hayo maji ungepelekwa wapi,usi finalize kila tukio linalokutokea maishani mwako kuwa ndio "MWISHO"

Wajuba watoa surprise za ma iphone macho ma 3 na ma surprise ya mandinga kwa manzi zao huwa they act

A bit crazy,usipokua mpole na mnyenyekevu unaweza jikuta umepiga teke Bonge moja ya surprise iliyokua imeandaliwa

kwa ajili yako,Ukiwa mwenye Moyo wa shukurani na wa kuthamini mtu anachokupa bila kujali thamani yake Kuna siku

utadondokewa na Surprise Upasuke macho au uishie kusema O M G cause i know hujawahi shangazwa wewe,shauri lako.
 
What if it was his girlfriend's choice to have a bottle of water on the table?
It was non of your damn business dude
 
Hamna mgahawa wa hadhi unayoiongelea unao uza Maji ya BUKU (tena Hill Water)

Sina uhakika kama unaongelea watu wengine,naamini hii imekukuta wewe na si kama usemavyo
Exactly Mkuu, umefikiri vyema Sana, mleta mada yamemkuta haya
 
Sio kila anayekwenda mgahawani ana njaa, kila kajiwekea utaratibu wa maisha yake.
 
Back
Top Bottom