Baadhi ya wanaume hamko serious, weekend outing na mpenzi wako unaishia kumnunulia maji ya Tsh. elfu 1 tu, kweli?

Baadhi ya wanaume hamko serious, weekend outing na mpenzi wako unaishia kumnunulia maji ya Tsh. elfu 1 tu, kweli?

Hii ndio shida yetu binadamu, kuchaguliana maisha na kutamani watu wote waishi maisha ya ndoto zako. Kama wamekunywa zao maji ya buku na they are happy and okey with it wewe ni nani wa kuwapangia?

Wengine sisi hatunywi pombe, hatunywi soda wala hayo majuice tusiojua yametengenezwaje, hivyo hata niingie wapi bado tu nitaagiza maji. Usikariri maisha mtoa mada.
 
Jumapili moja nlikuepo kwenye mgahawa mmoja hapa Dar, kiukweli ni mgahawa wenye hadhi kidogo (upo classic) mgahawa una ukuta wa kioo, ndani kiyoyozi plus tv Pana flat screen. Nlivokua nje ya mgahawa mara akaingia mdada mmoja mzuri kweli nikasema dooh
Husizanie wewe unavyo tobolewa mifuko na huyo demu wako ukazani wote wapo hivyo so huyo mwanamke ni wa kupongezwa.
 
Sasa wewe yanakuhusu nini...na ulijuaje kama ni wapenzi.

Alafu masaa manne hapo unafanya nini?
 
Jumapili moja nlikuepo kwenye mgahawa mmoja hapa Dar, kiukweli ni mgahawa wenye hadhi kidogo (upo classic) mgahawa una ukuta wa kioo, ndani kiyoyozi plus tv Pana flat screen. Nlivokua nje ya mgahawa mara akaingia mdada mmoja mzuri kweli nikasema dooh.
Walishashiba makande na balimi mkuu hapo walifuata mandhari.
 
Kama hawatumii hivyo ulivyo vitaja je?

Kama walisha kula walipotoka je?

Kama walipatana wanywe maji tu je?

Sasa skiza..wewe Itakua umeandika huu Uzi wako ili uonekane unaingiaga kwenye migahawa yenye hadhi

[emoji23][emoji23][emoji23]tushamjua tabia yake
 
Pengine shida yao ilikuwa ni maji, wewe ulijuaje kuwa jamaa pochi haisomeki? Acha kufuatilia maisha ya watu pambana tu na hali yako.
 
Let people do what they need to do to make them happy, mind ur own business and do what u need to do to make you happy.

Minding ur own business is a full time job, stay employed.

Wengi naona mmekazana kumind their own business, kwa taarifa tu huyu hata hiyo business ya kumind HANA.[emoji2377]
 
Back
Top Bottom