Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Status
Not open for further replies.

jokotinda_Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2022
Posts
882
Reaction score
1,536
Habarini za asubuhi wapendwa natumai mpo poa.

Leo naomba niseme hivi kuna baadhi ya sisi wanaume tumekuwa na tabia ya kujifanya mwanamke yaani ni mshikaji kabisa anakuja PM anajifanya mwanamke ananza kukuomba pesa na virungu vya hapa na pale. Thamani yetu wanaume ni kubwa sana tubadilike. Kwanza unanzaje kama shida ni pesa si uombe members tutakupiga tafu kuliko hiviii🤔🤔
 
Oya huyo hata mi nimeshamjua Halafu anajifanya anapost mathread kibao humu JF kila siku kumbe libaba kabisa na midevu yake😁😁
 
Mimi ni Simba, lakini hiki walichokufanyia siyo kabisa😂😂.
Wamekukula kama ngapi mkuu? Ukute ulishanunua na condom!
 
Ao wanaume hawana tofauti na Mpwayungu Village ambaye kucha kutwa anatamani kuwa mwanamke
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…