Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Status
Not open for further replies.
Habarini za asubuhi wapendwa natumai mpo poa .... Leo naomba niseme ivi kuna baadhi ya sisi wanaume tumekuwa na tabia ya kujifanya mwanamke yani ni mshkaji kabisa anakuja PM anajifanya mwanamke ananza kukuomba pesa na virungu vya hapa na pale ..... thamani yetu wanaume ni kubwa sana tubadilike ..... kwanza unanzaje kama shida ni pesa c uombe members tutakupiga tafu kuliko iviii🤔🤔
Pole sana kijana, kutokua na Tamaa na ugwadu wa kizembezembe kumekusaidia sana kuepuka janga hili. Sasa kijana, ili tuwasaidie hao midume jike si uwaorodheshe kama ile orodha ya mafisadi ya Dr.slaa pale Mwembe Yanga -Tandika? Na hii pia itadhihirisha kweli na wewe ni Mwanaume na huendeshwi kwa hisia bali facts. Hii itasaidia sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom