fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Kun siku et linaniambie nimsaidie elfu 5 atume pesa ya vikoba anadaiwa hvhv nkamwambia lete namba 😁😁akanipa jina la kiume nikashtuka😁😁 nkamwambia ntakutmia badae, hali ilivo ngumu afu nitapeliwa na dume jenzangu hapana kwakweli bora anitapel mtot wa kike haitoniuma sanaJinga sana hili jamaaa😂,