Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
baadhi ya sisi wanaume tumekuwa na tabia ya kujifanya mwanamke yaani ni mshikaji kabisa anakuja PM anajifanya mwanamke ananza kukuomba pesa na virungu vya hapa na pale.
Samahani mkuu, umewezaje kujua jinsia zao?