Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Status
Not open for further replies.
Habarini za asubuhi wapendwa natumai mpo poa.

Leo naomba niseme hivi kuna baadhi ya sisi wanaume tumekuwa na tabia ya kujifanya mwanamke yaani ni mshikaji kabisa anakuja PM anajifanya mwanamke ananza kukuomba pesa na virungu vya hapa na pale. Thamani yetu wanaume ni kubwa sana tubadilike. Kwanza unanzaje kama shida ni pesa si uombe members tutakupiga tafu kuliko hiviii🤔🤔
Sio vizuri mambo yenu ya PM huko Kuja kuyaweka hadharani ilibidi muyamalize wenyewe mtukanane huko huko
Screenshot_20230606-142523_1.jpg
 
Ukalime mpunga tu ndugu
Wanaume wengi hawana mahaba Wala mapenz hayo ambayo sie tunadhania Sasa ukiongezea na kujifanya hujielew unaeumia ni mwanamke
Una akili sana ujuee ulitakiwa uzaliwe mambele hukooo!!😁!

Kwakweli acha tukomae tuu
 
Sio vizuri mambo yenu ya PM huko Kuja kuyaweka hadharani ilibidi muyamalize wenyewe mtukanane huko huko View attachment 2647814
Ukiangalia uzi wangu hakuna ushahidi wa wazi nlio uweka hapa ...pili lengo nikuzuia tabia kama hizi za kitapeli zisiendelee hakuna cha siri hapa .... na watu wenye tabia kama hizi wache mara moja
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom