Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Status
Not open for further replies.
Mimi sijala Hela ya mtu from no where labda mwanaume wangu nae Kwa ratiba zinazoeleweka lakini watu yanwakuta hiv mtu ana wazazi. Huko kijijin akupe Hela yake wew Bure usietaka kufanya kazi huko uyole utegemee nn haipo hiyo Dunia hii
"Usietake kufanya kazi huko Uyole"

Unanisema ujuee 😂😂😂😂!!
 
Huo ni uzi mwingine Madam.

Mdogo wako Depal alikuwepo usiku huo wa manane. Mods waliufyeka. Ulitunzwa for future use.

Leo ndiyo siku yenyewe.
Nyuzi za hivi hazitakiwi kufutwa, ziachwe ili hao wahuni waumbuliwe kama vipi wapigwe life ban.
Maana huo nao ni utapeli
 
Kumbe humu kuna business as usual....
Poleni mnaokutwa na majanga huko kwenye Piemu zenu..
 
Habarini za asubuhi wapendwa natumai mpo poa.

Leo naomba niseme hivi kuna baadhi ya sisi wanaume tumekuwa na tabia ya kujifanya mwanamke yaani ni mshikaji kabisa anakuja PM anajifanya mwanamke ananza kukuomba pesa na virungu vya hapa na pale. Thamani yetu wanaume ni kubwa sana tubadilike. Kwanza unanzaje kama shida ni pesa si uombe members tutakupiga tafu kuliko hiviii[emoji848][emoji848]
SAS shida iko HV unamuweka mrembo wako uliyembanduaa dp , Avatar alfu njemba linakufta pm anaaza kukutongoza unajiuliza HV mtu hyu Ana ujasiri gani kumtongozaa mtu usiyemfahamu Wala kumuona
,SAS mmoja kanisumbua akijuwa mm Ni manzi nilichomfanya hata kaa anisahau

Anaanza kujiona pesa ndefu
 
Hili ni la ukweli kwa 100% lakini haikuwa rahisi kwangu mimi kuingizwa mkenge kirahisi vile, mimi nilimwambia nitamuexpose baadae nikaona itakiwa ni thread ya kimbea ila kwakua umepatikana mwenye uthibutu basi na mimi NAKAZIA.


WANAUME hatutakiwi kujipa uhusika wa kike, ukizaliwa mwanaume pambana tu.
Ahahahahahahhahah kuna watu wanasema et wa..... Ndo waliwao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom