Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Status
Not open for further replies.
Hili ni la ukweli kwa 100% lakini haikuwa rahisi kwangu mimi kuingizwa mkenge kirahisi vile, mimi nilimwambia nitamuexpose baadae nikaona itakiwa ni thread ya kimbea ila kwakua umepatikana mwenye uthibutu basi na mimi NAKAZIA.

WANAUME hatutakiwi kujipa uhusika wa kike, ukizaliwa mwanaume pambana tu.
Hebu mtoeni laivu ajifunze..kwanza anaombaje ombaje wanaume wenzie
 
Tena mabaharia tukishakula Helazao wanaipiga haswa😌
Baby Aaliyyah u are hurting my moyo🀨- si uwakwepe Kama rafiki yangu huyuπŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚
FB_IMG_16849393780807439.jpg
 
Hili ni la ukweli kwa 100% lakini haikuwa rahisi kwangu mimi kuingizwa mkenge kirahisi vile, mimi nilimwambia nitamuexpose baadae nikaona itakiwa ni thread ya kimbea ila kwakua umepatikana mwenye uthibutu basi na mimi NAKAZIA.

WANAUME hatutakiwi kujipa uhusika wa kike, ukizaliwa mwanaume pambana tu.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
ungeingizwa mkenge ungekuja kunihadithia eti mubebee?
 
Kwa kifupi nduguzetu upande wa baba wamerest in peace jina la bwana lihimidiwe
Wanaume hamna ndo maana wanachamba had unashangaa huyu mwanaume kweli πŸ˜…πŸ˜…
Halafu wakali haoo..ukiona mwanaume anajionyesha ukali ukali jukwaani ujue ana walakini..huko pembeni ni mdebwedo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom